Taifa Leo(@Taifa_Leo) 's Twitter Profileg
Taifa Leo

@Taifa_Leo

Gazeti la pekee la Kiswahili nchini Kenya. Kwa habari na makala ya kusisimua, jinunulie nakala kila siku kupitia https://t.co/naumc6eNK6

ID:2177492923

linkhttps://taifaleo.nation.co.ke/ calendar_today06-11-2013 06:22:14

87,0K Tweets

34,2K Followers

41 Following

Follow People
Taifa Leo(@Taifa_Leo) 's Twitter Profile Photo

Natembeya atisha kufuta madaktari wanaogoma Trans Nzoia na kuajiri wapya kutoka nchini Uganda ow.ly/9YEt50RmYE6

Natembeya atisha kufuta madaktari wanaogoma Trans Nzoia na kuajiri wapya kutoka nchini Uganda ow.ly/9YEt50RmYE6
account_circle
Taifa Leo(@Taifa_Leo) 's Twitter Profile Photo

Maafisa wafanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Fedha Ukur Yatani kwa uchunguzi wa tuhuma za ufisadi; kwa sasa anahojiwa katika afisi za EACC jijini Nairobi.

Soma habari zaidi katika taifaleo.nation.co.ke

Maafisa wafanya upekuzi nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Fedha Ukur Yatani kwa uchunguzi wa tuhuma za ufisadi; kwa sasa anahojiwa katika afisi za EACC jijini Nairobi. Soma habari zaidi katika taifaleo.nation.co.ke
account_circle
Taifa Leo(@Taifa_Leo) 's Twitter Profile Photo

Demu awaka kupata picha za mume akila bata na manyanga katika ufuo taifaleo.nation.co.ke/dondoo/demu-aw…

Demu awaka kupata picha za mume akila bata na manyanga katika ufuo taifaleo.nation.co.ke/dondoo/demu-aw…
account_circle
Taifa Leo(@Taifa_Leo) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi KU waunda mapipa ya taka kwa ‘chupa kero’ taifaleo.nation.co.ke/makala/wanafun…

Wanafunzi KU waunda mapipa ya taka kwa ‘chupa kero’ taifaleo.nation.co.ke/makala/wanafun…
account_circle
Taifa Leo(@Taifa_Leo) 's Twitter Profile Photo

Mti mkubwa waanguka na kufunga kabisa barabara ya Moi Avenue, kati ya Imenti House na duka la Naivas, kufuatia mvua kubwa iliyonyesha Jumanne usiku

Fuatilia yanayojiri katika taifaleo.nation.co.ke

Mti mkubwa waanguka na kufunga kabisa barabara ya Moi Avenue, kati ya Imenti House na duka la Naivas, kufuatia mvua kubwa iliyonyesha Jumanne usiku Fuatilia yanayojiri katika taifaleo.nation.co.ke
account_circle
Taifa Leo(@Taifa_Leo) 's Twitter Profile Photo

Mti mkubwa waanguka na kufunga kabisa barabara ya Moi Avenue, karibu na Imenti House na duka la Naivas, kufuatia mvua kubwa iliyonyesha Jumanne usiku

Fuatilia yanayojiri katika taifaleo.nation.co.ke

account_circle
Taifa Leo(@Taifa_Leo) 's Twitter Profile Photo

Ukuta wa El-Nino wawakinga wakazi wa Mpeketoni, Lamu dhidi ya mafuriko taifaleo.nation.co.ke/makala/ukuta-w…

Ukuta wa El-Nino wawakinga wakazi wa Mpeketoni, Lamu dhidi ya mafuriko taifaleo.nation.co.ke/makala/ukuta-w…
account_circle