Msemaji Mkuu wa Serikali (@tzmsemajimkuu) 's Twitter Profile
Msemaji Mkuu wa Serikali

@tzmsemajimkuu

The Official Account of the Chief Spokesman of the Government of Tanzania I Ukurasa Rasmi wa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania 🇹🇿

ID: 765756476031918080

linkhttp://www.maelezo.go.tz calendar_today17-08-2016 03:45:45

29,29K Tweet

764,764K Takipçi

11 Takip Edilen

Maelezo News (@maelezonews) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenani Kihongosi akizungumza na Watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita yaliyopatikana katika mkoa huo leo Julai 20, 2025 katika Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) jijini Dodoma.

#TUMEWASIKIATUMEWAFIKIA Vituo vipya vya kutolea huduma za afya 87 vimeongezeka, kutoka vituo 249 hadi vituo 350, sawa na asilimia 71.14 . Ujenzi wa hospitali mpya 8 na kuufanya mkoa kuwa na jumla ya hospitali 21, zikiwa na majengo ya kutolea huduma za dharura (EMD). Ujenzi wa

Maelezo News (@maelezonews) 's Twitter Profile Photo

#TUMEWASIKIATUMEWAFIKIA Mashine za kisasa zimesimikwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mount Meru, zikiwemo; CT-Scan, ECHO, ECG na MAMOGRAPHY. Uwepo wa mashine hizi umepunguza rufaa za wagonjwa kwenda Hospitali za Rufaa nje ya mkoa, kama KCMC (Kilimanjaro) na Muhimbili (Dar es

#TUMEWASIKIATUMEWAFIKIA Jumla ya shilingi Bilioni 98.9 zimetumika kuboresha miundombinu ya elimu kwa kujenga shule mpya 27 za sekondari na shule mpya saba za msingi, ujenzi wa vyumba vya madarasa 843, ujenzi wa mabweni 60 ya wavulana na wasichana, ujenzi wa maabara 78 za

Maelezo News (@maelezonews) 's Twitter Profile Photo

#TUMEWASIKIATUMEWAFIKIA Kupitia Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Mkoa wa Arusha umepokea shilingi Bilioni 118.5 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maji vijijini, ikilenga kuhakikisha upatikanaji wa huduma za maji safi na salama unafikia 85%

Maelezo News (@maelezonews) 's Twitter Profile Photo

#TUMEWASIKIATUMEWAFIKIA Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuwekeza kwenye sekta ya michezo ikiwa na lengo la kuimarisha sekta ya utalii, Serikali imetoa shilingi Bilioni 298 kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Arusha, ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya AFCON

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mshindi wa Miss World 2025 Bi. Opal Suchata Chuangsri mara baada ya mazungumzo yaliofanyika Kizimkazi, Zanzibar tarehe 20 Julai, 2025.
Maelezo News (@maelezonews) 's Twitter Profile Photo

#TUMEWASIKIATUMEWAFIKIA Kwa kipindi cha kuanzia Machi 2021 hadi Juni 2025, Mkoa wa Geita umepokea shilingi trilioni 1.442 kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika sekta za afya, elimu, miundombinu ya usafiri na usafirishaji, maji, nishati, kilimo, mifugo, uvuvi,

Maelezo News (@maelezonews) 's Twitter Profile Photo

#TUMEWASIKIATUMEWAFIKIA Ujenzi wa Hospitali za Halmashauri za Bukombe, Chato, Geita, Geita Manispaa, Mbogwe na Nyang’hwale umekamilika; ujenzi wa majengo matatu (3) ya huduma za dharura (EMD) katika Hospitali ya Bukombe, Katoro na Hospitali ya Halmashauri Nyang’hwale umekamilika;

Maelezo News (@maelezonews) 's Twitter Profile Photo

#TUMEWASIKIATUMEWAFIKIA Idadi ya zahanati imeongezeka kutoka 129 mwaka 2021 hadi 198 mwaka 2025; vituo vya afya vimeongezeka kutoka 25 mwaka 2021 hadi 42 mwaka 2025; nyumba za watumishi wa afya zimeongezeka kutoka 180 mwaka 2021 hadi 230 mwaka 2025; upatikanaji wa dawa, vifaa,

Maelezo News (@maelezonews) 's Twitter Profile Photo

#TUMEWASIKIATUMEWAFIKIA Mafanikio yaliyopatikana katika Sekta ya Elimu ni pamoja na kuendelea kutekeleza Mpango wa Elimu bila Ada kuanzia elimu ya awali hadi kidato cha sita kwa kuongeza fedha za kugharamia mpango huo kutoka Shilingi 6,486,387,724.00 mwaka 2021 hadi Shilingi

Maelezo News (@maelezonews) 's Twitter Profile Photo

#TUMEWASIKIATUMEWAFIKIA Idadi ya shule za msingi na awali imeongezeka kutoka 641 mwaka 2021 hadi 792 mwaka 2025; idadi ya shule za sekondari imeongezeka kutoka 130 mwaka 2021 hadi 240 mwaka 2025; idadi ya vyumba vya madarasa ya shule za msingi na sekondari imeongezeka kutoka

#TUMEWASIKIATUMEWAFIKIA Huduma ya upatikanaji wa maji safi kwa wananchi wa Mkoa wa Geita imeongezeka kutoka 65% mjini na 61% vijijini mwaka 2021 hadi asilimia 75% mjini na 65% vijijini mwaka 2025; uzalishaji wa maji katika Mji wa Geita umeongezeka kutoka lita 5,200,000 kwa siku

Msemaji Mkuu wa Serikali (@tzmsemajimkuu) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhe. Martine Shigela akizungumza na Watanzania kupitia mkutano na Waandishi wa Habari kuhusu mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita yaliyopatikana katika mkoa huo leo Julai 21, 2025 katika Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) jijini Dodoma.