TPDC (@tpdctz) 's Twitter Profile
TPDC

@tpdctz

Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) || Ukurasa Rasmi.

ID: 783246920466763776

linkhttp://tpdc.co.tz calendar_today04-10-2016 10:06:32

572 Tweet

3,3K Followers

34 Following

TPDC (@tpdctz) 's Twitter Profile Photo

TPDC 2025 || Mapinduzi Ya Zanzibar . Leo Tarehe 12 Januari ni kumbukumbu ya mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964. . #TunawezeshaMaisha

TPDC 2025 || Mapinduzi Ya Zanzibar
.
Leo Tarehe 12 Januari ni kumbukumbu ya mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964.
.
#TunawezeshaMaisha
TPDC (@tpdctz) 's Twitter Profile Photo

TPDC 2025 || Januari 27 . Heri ya siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan. . #TunawezeshaMaisha

TPDC 2025 || Januari 27
.
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan.
.
#TunawezeshaMaisha
TPDC (@tpdctz) 's Twitter Profile Photo

TPDC 2025 || Baraza la Wafanyakazi . Mhe. Balozi Sefue afungua na kuwafunda Viongozi katika Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la TPDC. Mhe. Balozi Ombeni Sefue ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurungenzi ya TPDC ameeleza kuwa Watumishi na Menejimenti ya TPDC wanaowajibu

TPDC 2025 || Baraza la Wafanyakazi
.
Mhe. Balozi Sefue afungua  na kuwafunda Viongozi katika  Kikao cha Baraza la Wafanyakazi la TPDC.

Mhe. Balozi Ombeni Sefue ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurungenzi ya TPDC ameeleza kuwa Watumishi na Menejimenti ya TPDC wanaowajibu
TPDC (@tpdctz) 's Twitter Profile Photo

TPDC 2025 || Ramadhani Kareem. . Shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania linawatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. . #TunawezeshaMaisha

TPDC 2025 || Ramadhani Kareem.
.
Shirika la Maendeleo ya Petrol Tanzania linawatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
.
#TunawezeshaMaisha
TPDC (@tpdctz) 's Twitter Profile Photo

TPDC 2025 || Siku Ya Wanawake. . Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania linawatakia heri ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. . #TunawezeshaMaisha

TPDC 2025 || Siku Ya Wanawake.
.
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania linawatakia heri ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
.
#TunawezeshaMaisha
TPDC (@tpdctz) 's Twitter Profile Photo

TPDC 2025 || #ElimuYaGesi . Tafadhali tega sikio na macho usiondoe kwenye Kioo cha Kifaa chako ili upate elimu sahihi kuhusu gesi asilia na gesi tofauti. . #TunawezeshaMaisha

TPDC (@tpdctz) 's Twitter Profile Photo

TPDC 2025 || #ElimuYaGesi . Tazama na sikiliza kwa makini ili upate elimu sahihi kuhusu Nishati ya Gesi. . #TunaweshaMaisha.

TPDC (@tpdctz) 's Twitter Profile Photo

TPDC 2025 || Ripoti Ya CAG. . Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limepata faida ya Shilingi Bilioni 248.75 kwa mujibu wa ripoti ya CAG. . #TunawezeshaMaisha

TPDC 2025 || Ripoti Ya CAG.
.
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limepata faida ya Shilingi Bilioni 248.75 kwa mujibu wa ripoti ya CAG.
.
#TunawezeshaMaisha
TPDC (@tpdctz) 's Twitter Profile Photo

TPDC 2025 || #ElimuYaGesi . Hii ndio sababu kuu y nyumba za Mikocheni kuwa mfumo wa moja kwa moja wa gesi majumbani. Sikiliza Wataalamu na si vinginevyo. . #TunawezeshaMaisha

TPDC (@tpdctz) 's Twitter Profile Photo

TPDC 2025 || Kaya 980. . Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeendelea kutekeleza kwa vitendo Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa kuanza utekelezaji wa mradi wa usambazaji gesi asilia majumbani katika eneo la Kata ya Mnazi Mmoja na Mingoyo Mkoani

TPDC 2025 || Kaya 980.
.
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeendelea kutekeleza kwa vitendo Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa kuanza utekelezaji wa mradi wa usambazaji gesi asilia majumbani  katika eneo la Kata ya  Mnazi Mmoja na Mingoyo Mkoani
TPDC (@tpdctz) 's Twitter Profile Photo

TPDC 2025 || #SalamuZaPasaka . Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) inawatakia Watanzania wote heri ya Sikukuu ya Pasaka na ikawe furaha yenye baraka. . #TunawezeshaMaisha

TPDC 2025 || #SalamuZaPasaka
.
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) inawatakia Watanzania wote heri ya Sikukuu ya Pasaka na ikawe furaha yenye baraka.
.
#TunawezeshaMaisha
TPDC (@tpdctz) 's Twitter Profile Photo

TPDC 2025 || Uzinduzi wa Kituo cha CNG . Mheshimiwa Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga (Mb.) amezindua Kituo Mama cha Kujaza gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) eneo la Mlimani Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam. . Mheshimiwa Judith Kapinga katika Hotuba yake akashukuru na

TPDC 2025 || Uzinduzi wa Kituo cha CNG
.
Mheshimiwa Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga (Mb.) amezindua Kituo Mama cha Kujaza gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) eneo la Mlimani Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam.
.
Mheshimiwa Judith Kapinga katika Hotuba yake akashukuru na
TPDC (@tpdctz) 's Twitter Profile Photo

TPDC 2025 || Kituo Mama. . Kituo hiki kina uwezo wa kuzalisha CNG kiasi cha futi za ujazo milioni 4.2 sawa na kilo 120,000 kwa siku. Kituo kina pampu nne zenye jumla ya nozeli nane na kukifanya kuwa na uwezo wa kuhudumia magari 8 kwa wakati mmoja na kwa siku kikitoa huduma hii

TPDC 2025 || Kituo Mama.
.
Kituo hiki kina uwezo wa kuzalisha CNG kiasi cha futi za ujazo milioni 4.2 sawa na kilo 120,000 kwa siku. Kituo kina pampu nne zenye jumla ya nozeli nane na kukifanya kuwa na uwezo wa kuhudumia magari 8 kwa wakati mmoja na kwa siku kikitoa huduma hii
TPDC (@tpdctz) 's Twitter Profile Photo

TPDC 2025 || Epuka Matapeli . Zabuni zote za TPDC zinatangazwa kupitia mfumo wa manunuzi wa serikali 'NeST' Epuka matapeli. All TPDC tenders are advertised through the government procurement system 'NeST'…….Avoid scams. . #TunawezeshaMaisha

TPDC 2025 || Epuka Matapeli
.
Zabuni zote za TPDC zinatangazwa kupitia mfumo wa manunuzi wa serikali 'NeST' Epuka matapeli.

All TPDC tenders are advertised through the government procurement system 'NeST'…….Avoid scams.
.
#TunawezeshaMaisha