#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile
#TOTTechs

@tottechs

Jukwaa la washauri na wataalamu wa Teknolojia || 💻 Computers ||📱 Phones | Softwares | ICT Hardwares | ICT Security || Partnership with Kukeke Gang and L.M.S

ID: 1224230001245069318

calendar_today03-02-2020 07:16:25

44,44K Tweet

49,49K Takipçi

719 Takip Edilen

It's MalekoGJ. (@goodluckmalekoj) 's Twitter Profile Photo

Wazee kunaa hii mashine inaitwa ➠Dell XPS 13 9370 Ni Laptop Nyembamba Yenye Nguvu ➠Dell XPS 13 9370 ilitolewa kwa mara ya kwanza mwezi Januari 2018 kwenye maonesho ya CES huko Las Vegas ➠Ilikuwa toleo jipya kabisa la XPS 13 na ilikuwa nyembamba kidogo kuliko mtangulizi wake

Wazee kunaa hii mashine inaitwa
➠Dell XPS 13 9370 Ni Laptop Nyembamba Yenye Nguvu 

➠Dell XPS 13 9370 ilitolewa kwa mara ya kwanza mwezi Januari 2018 kwenye maonesho ya CES huko Las Vegas

➠Ilikuwa toleo jipya kabisa la XPS 13 na ilikuwa nyembamba kidogo kuliko mtangulizi wake
MvuviTech🔌 (@itexperttz) 's Twitter Profile Photo

Another One 🎉 Mida Ya Kazi 🎮 Ndugu Yangu Kama Una Ps Haijafanyiwa Usafi Zaidi Ya Miezi 6 Tafadhali Nipigie 0767201879 🎮 Kama Hauna Ps Bhasi Fanya Kuretweet Inawezekana Mteja Yuko Kwenye Timeline Yako 🔥

Another One 🎉 Mida Ya Kazi 🎮

Ndugu Yangu Kama Una Ps Haijafanyiwa Usafi Zaidi Ya Miezi 6 Tafadhali Nipigie 0767201879 🎮

Kama Hauna Ps Bhasi Fanya Kuretweet Inawezekana Mteja Yuko Kwenye Timeline Yako 🔥
DOGO WA NONDE (@festokaguo) 's Twitter Profile Photo

#TOTTechs watu wengi wanaotumia window 10 kama hawakupata notification ya kuextend au kuonewa huruma na microsoft ili iendelee kuwapa updates za windows mpaka mwezi february 2026 basi hawana budi kufanya hivyo, mimi nilipokea hiyo notification kuna fomu nikajaza wakaextend time

#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile Photo

Tanzania bado hatuna delivery system nzuri, hii sekta bado haijafanyiwa kazi vizuri iwe offline au online, tunahitaji kuwa na mfumo mzuri wa delivery. Share experience/Changamoto yako kwa wanaofanya delivery ya vitu Tanzania.

#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile Photo

Usalama mtandaoni ni suala la kila mtumiaji, tunapaswa kujua hata kwa uchache namna gani tunaweza kujikinga na uhalifu mtandaoni, asilimia kubwa ya watumiaji wa mitandao hasa nchi kama zetu hawaelewi ni taarifa zipi zinaweza kuibiwa na wajilinde vipi mtandaoni.

#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile Photo

Kadi siku hizi siyo hardcopy ni "Online Invitation Link/QR Code, NFC, Tags etc.." Ni mwendo wa kuchanja tu unaingia ukumbini.

#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile Photo

STANBIC ndiyo Bank ya kwanza Tanzania kuanza kutumia ATM, International transfer (USD, Euro), Matumizi ya Card, etc.. ATM ya kwanza ilikuwa pale Life House Accounts za Mabalozi na Diplomatic wengi zipo STANBIC. STANBIC ni International Bank, wateja wake wengi wana kibunda.

#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile Photo

Ni lini ulifahamu kuwa laini ya simu (SIM card) ni computer kamili yaani ina storage, CPU, RAM na ina Operating system (OS) yake "applets" hata e-Sim ni kivuli ya Sim (image of real Sim) e-Sim siyo physical inafanya kazi kama kivuli cha Sim halisi (run as a VM or a real Sim).

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya HTML - 1 week CSS (Basic) - 1 week JavaScript - 3 months React - 2 months Intermediate CSS - 1 month Intermediate JavaScript - 1 month Advanced React - 2 months Typescript - 2 months React + Typescript - 1 month NextJS/TanstackStart/Remix patterns - 1 month

#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile Photo

Kama taifa na kwa dunia ya leo inabidi tuwe na National Cyber Security and Forensic Centre, kiwe ni kitengo kinajitegemea, kwa kushirikiana na TZ–CERT chini ya TCRA mbali na majukumu yao,waje na program/training centre kuwajengea uwezo na kuhamasisha vijana kupenda Comp Security.

It's MalekoGJ. (@goodluckmalekoj) 's Twitter Profile Photo

Kwamba Pale TCRA kunaa Wataalam kabisa wenyee Elimu zao na Uzurii ni Taasisi ilioajiriii Watu Wa Ikuluu Wengii Mno kupitilizaa i mean Usalama lakinii wote hao Wakakaa Na kukubalianaa Wawe Wanazimaa Baadhi ya Social Media kwa Hizo Sababu zao ambazo ni za kisiasaa Zaidi

#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile Photo

Atlas ni nzuri ila haiwezi kupambana na Google Chrome, in-fact Chromium based browsers zote Including Atlas (OpenAI based Browser) haziwezi kupambana na Google.