Tanzania Forest Services Agency (@tfsagency) 's Twitter Profile
Tanzania Forest Services Agency

@tfsagency

Established on 30th July, 2010 aims at improving the delivery of public services related to sustainable supply of quality forest and bee products and services

ID: 815876097292304385

linkhttp://www.tfs.go.tz calendar_today02-01-2017 11:03:14

513 Tweet

8,8K Takipçi

376 Takip Edilen

Tanzania Forest Services Agency (@tfsagency) 's Twitter Profile Photo

KUELEKEA SIKU YA MISITU DUNIANI 2025 - Leo katika Baragumu - Channel 10, Selewin Regie, Mhifadhi Misitu wa TFS Temeke, ameangazia umuhimu wa kuongeza thamani ya mazao ya misitu kwa uendelevu wa rasilimali kwa kizazi hiki na kijacho. Fuatilia hapa: youtu.be/ZCT_BKMlsj8

Tanzania Forest Services Agency (@tfsagency) 's Twitter Profile Photo

Miaka 4 ya Rais Samia: Kulinda Misitu, Nyuki na Kukuza Utalii kwa Maendeleo Endelevu! Katika uongozi wa Rais.Serikali imechukua hatua thabiti kulinda rasilimali hizi kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho, ikihakikisha ustawi wa mazingira na kukuza uchumi wa nchi. ASANTE MAMA🙏

Tanzania Forest Services Agency (@tfsagency) 's Twitter Profile Photo

Tanzania inatekeleza kauli mbiu ya Siku ya Misitu Duniani kwa vitendo! Kupitia teknolojia, upandaji miti, utalii ikolojia & ushirikiano wa jamii, tunaongeza thamani ya misitu kwa kizazi hiki & kijacho. #SikuYaMisituDuniani #MisituKwaUstawi 🌍

Tanzania Forest Services Agency (@tfsagency) 's Twitter Profile Photo

Usikose! Ungana nasi kuadhimisha Siku ya Misitu Duniani 2025 kupitia kipindi cha Wake Up Call Machi 21, saa 02:00 ASB kupitia Upendo TV. Tafuta maarifa ya kina kuhusu umuhimu wa misitu, na usikie mtaalamu wetu na kutambua jinsi misitu ni rasilimali muhimu kwa mustakabali wetu!

URT Updates (@urtupdates) 's Twitter Profile Photo

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi akiwa ameambatana na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi Tanzania Forest Services Agency (TFS) Prof. dos Santos Silayo wametembelea na kukagua maonesho maalumu ya ambayo yanaonyesha mnyororo wa thamani wa Sekta ya Misitu ktk viwanja vya Saba Saba Mjini Njombe. Mgeni

Katibu Mkuu <a href="/MNRT_Tanzania/">Wizara ya Maliasili na Utalii</a> Dkt. Hassan Abbasi akiwa ameambatana na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi <a href="/TFSAgency/">Tanzania Forest Services Agency</a> (TFS) Prof. <a href="/SilayoDos/">dos Santos Silayo</a>  wametembelea na kukagua maonesho maalumu ya ambayo yanaonyesha mnyororo wa thamani wa Sekta ya Misitu ktk viwanja vya Saba Saba Mjini Njombe. Mgeni
Tanzania Forest Services Agency (@tfsagency) 's Twitter Profile Photo

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa ameanzisha kampeni ya kitaifa ya upandaji miti kwa kupanda mti wa Mkangazi Njombe leo Machi 21,2025. Wito kwa Watanzania wote: tuchangie kulinda misitu na kujenga Tanzania ya kijani! #SikuYaMisituDuniani #UpandajiMiti

Karibu Pasaka hii, badilisha mandhari! Jivinjari kwenye misitu yenye utulivu, mandhari ya kuvutia na historia ya asili inayogusa moyo. Misitu Yetu, Utajiri Wetu Tembea, jifunze, pumzika na ufurahie uzuri wa TZ kupitia utalii wa misitu.

Tanzania Forest Services Agency (@tfsagency) 's Twitter Profile Photo

Siku ya Dunia 2025 Katika dunia moja tunayoshirikiana, misitu ni urithi na jukumu letu sote. Tuchukue hatua kulinda na kuhifadhi misitu yetu—kwa maendeleo endelevu, afya ya sayari, na kizazi cha sasa na vijavyo. Dunia Moja, Misitu Yetu, Wajibu Wetu. #EarthDay2025

Siku ya Dunia 2025
Katika dunia moja tunayoshirikiana, misitu ni urithi na jukumu letu sote.
Tuchukue hatua kulinda na kuhifadhi misitu yetu—kwa maendeleo endelevu, afya ya sayari, na kizazi cha sasa na vijavyo.

Dunia Moja, Misitu Yetu, Wajibu Wetu.
#EarthDay2025
Tanzania Forest Services Agency (@tfsagency) 's Twitter Profile Photo

𝐒𝐢𝐤𝐮𝐤𝐮𝐮 𝐲𝐚 𝐏𝐚𝐬𝐚𝐤𝐚 𝐌𝐚𝐠𝐚𝐦𝐛𝐚 𝐢𝐦𝐞𝐰𝐚𝐤𝐚! Watalii kutoka ndani na nje ya nchi wamechagua Hifadhi ya Mazingira Asilia ya Magamba kama sehemu yao ya kusherehekea, wakifurahia mandhari ya kijani, hewa safi na utulivu wa kipekee wa msitu. Karibu Magamba

Tanzania Forest Services Agency (@tfsagency) 's Twitter Profile Photo

#tanzaniatourism #tanzania #tanzaniasafari #tanzaniaunforgettable #tanzaniaparks #tanzaniaweddings #tanzaniatravel #tanzaniasafaris #tanzanianationalparks #tanzaniatours #tanzaniaadventure #tanzaniatourismboard #visittanzania #tanzaniaholiday #tanzanian #tanzaniaholidays

Usikose kufuatilia hatua kubwa zinazotekelezwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika usimamizi endelevu wa rasilimali za misitu na nyuki, kama sehemu ya ajenda ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kujenga uchumi shirikishi wa kijani.