TCRA_TANZANIA(@TCRA_Tz) 's Twitter Profileg
TCRA_TANZANIA

@TCRA_Tz

Ukurasa rasmi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania.
Mtandao ni Fursa, Baki Salama
Kazi Iendelee...

ID:540271095

linkhttps://www.tcra.go.tz/ calendar_today29-03-2012 18:33:51

4,0K Tweets

133,7K Followers

28 Following

Follow People
TCRA_TANZANIA(@TCRA_Tz) 's Twitter Profile Photo

šŸ“ŒMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inawakumbusha watoa huduma za mawasiliano kuwa utoaji wa Huduma za hizo bila leseni halali kutoka TCRA ni kinyume cha sheria.

šŸ“ŒMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inawakumbusha watoa huduma za mawasiliano kuwa utoaji wa Huduma za hizo bila leseni halali kutoka TCRA ni kinyume cha sheria. #tcratz #lesenikidijitali #tanzaniteportal
account_circle
TCRA_TANZANIA(@TCRA_Tz) 's Twitter Profile Photo

šŸ“ŒTaarifa zako zinaweza kudukuliwa na kutumiwa vibaya, kwa kosa la kubofya link mara 1 tuuā€¦

Usifungue link iliyotumwa kwa SMS, baruapepe, WhatsApp na kurasa nyingine za mitandao ya kijamii bila kujiridhisha imetoka wapi na kwa sababu gani.

šŸ“ŒTaarifa zako zinaweza kudukuliwa na kutumiwa vibaya, kwa kosa la kubofya link mara 1 tuuā€¦ Usifungue link iliyotumwa kwa SMS, baruapepe, WhatsApp na kurasa nyingine za mitandao ya kijamii bila kujiridhisha imetoka wapi na kwa sababu gani. #tcratz #cybersecurity #tcratips
account_circle