
StrommeFoundationTZ
@strommetz
We envision a world without poverty through Education, Income and job creation.
ID: 1760639566816382976
http://strommefoundation.org 22-02-2024 12:16:12
95 Tweet
31 Takipçi
39 Takip Edilen

Kila Mtoto Anastahili Usalama wa Kiafya Shuleni! Choo hiki kipya ni kwa ajili ya wavulana, wasichana, na wanafunzi wenye mahitaji maalumu. Kwa ushirikiano na Amani Girls Organization , StrommeFoundationTZ imejenga miundombinu salama, katika shule ya Msingi Mnane, Kata ya Kikio, wilaya ya Ikungi,


Kupitia ushirikiano na Amani Girls Organization , StrommeFoundationTZ inawezesha wakulima wa vijijini kwa mafunzo ya kilimo bora, mbegu bora na stadi za kuongeza thamani ya mazao. Pichani ni wanakikundi cha Matumaini Msule, kikundi cha wakulima kutoka Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, wakionesha


Chakula shuleni si tu mlo wa kila siku, ni kichocheo cha afya, motisha ya kujifunza, na msingi wa elimu bora! Kupitia Amani Girls Organization bustani za mboga mboga zimeanzishwa katika Shule ya Mnane, Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, ili kusaidia upatikanaji wa chakula chenye









Empowering young minds with simple tools! These learning boards spark creativity, build writing skills, and make learning fun and engaging for every child. #fightingpoverty Norad Strømmestiftelsen Amani Girls Organization HakiElimu



Tracking progress, sharing insights, and strengthening our commitment to impact. Norad Strømmestiftelsen Amani Girls Organization


