Mani Machuppa(@StrikerMachupa) 's Twitter Profileg
Mani Machuppa

@StrikerMachupa

Former Simba Sc .Al.Hemria.Aalborg Dk..Atraco Rw..Vasalund iF Sweden....just Love The Game...Liverpool Familly

ID:1167399533590056960

linkhttp://MachuppaFootballAgents.com calendar_today30-08-2019 11:32:01

6,6K Tweets

10,4K Followers

5,5K Following

Mani Machuppa(@StrikerMachupa) 's Twitter Profile Photo

Hapa hakuna kusikitika yeye amepewa kazi sasa kama alisaini mkataba mrefu ndio atengeneze team sasa sehemu popote kocha huendi na team yako unaikuta then ndio unaitengeneza so atengeneze team ya ushindani ya level yake

account_circle
Mani Machuppa(@StrikerMachupa) 's Twitter Profile Photo

City wana watu mbele hawatulii na mpira sehemu moja wanapishana pishana so hata wakinyanganywa wanakutanao mpira njiani tena...si mchezo

account_circle
Mani Machuppa(@StrikerMachupa) 's Twitter Profile Photo

Ingawa haikuwa kubwa kipindi kile kumtoa zamalek kwao tuliisimamisha Dar kuanzia Airport mpaka Shamba la bibi na kukuta limefurika watu mpaka katika pitch ni vile Tanzania Hatutunzi kumbukumbu

account_circle