SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profileg
SportsArenaTz

@SportsarenatzTz

Sport is our first love ❤️

ID:1268429628076634114

calendar_today04-06-2020 06:29:34

8,6K Tweets

305,6K Followers

452 Following

SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umethibitisha kupokea ofa kutoka katika timu za Ulaya ambazo zinataka kumnunua mshambuliaji Clement Mzize (20).
.
Ingawa hakuwa tayari kuzitaja timu ambazo zinamtaka mchezaji huyo, lakini Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema mbali na Azam FC…

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umethibitisha kupokea ofa kutoka katika timu za Ulaya ambazo zinataka kumnunua mshambuliaji Clement Mzize (20). . Ingawa hakuwa tayari kuzitaja timu ambazo zinamtaka mchezaji huyo, lakini Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema mbali na Azam FC…
account_circle
SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

JUVENTUS kwa sasa ndio inaongoza kwenye mchakato wa kuiwania saini ya mshambuliaji wa Manchester United, anayecheza kwa mkopo Getafe, Mason Greenwood, 22.
.
Timu nyingi zinatamani kuipata huduma ya Greenwood kutokana na kiwango alichoonyesha katika La Liga msimu huu akiwa na…

JUVENTUS kwa sasa ndio inaongoza kwenye mchakato wa kuiwania saini ya mshambuliaji wa Manchester United, anayecheza kwa mkopo Getafe, Mason Greenwood, 22. . Timu nyingi zinatamani kuipata huduma ya Greenwood kutokana na kiwango alichoonyesha katika La Liga msimu huu akiwa na…
account_circle
SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

💰 Uongozi wa Mtibwa Sugar kwa kushirikiana na baadhi ya wadau umekaa kikao na kutoa motisha katika timu yao ili ifanye vizuri na kuepuka kichapo leo dhidi ya Mnyama .

Katika kikao hicho kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 30 milioni endapo watapata…

💰 Uongozi wa Mtibwa Sugar kwa kushirikiana na baadhi ya wadau umekaa kikao na kutoa motisha katika timu yao ili ifanye vizuri na kuepuka kichapo leo dhidi ya Mnyama . Katika kikao hicho kilichofanyia viongozi pamoja na wadau wametoa ahadi ya sh 30 milioni endapo watapata…
account_circle
SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

Wahenga walisema lisemwalo lipo na kama halipo li njiani laja. Ninapokumbuka usemi huo, nikaanza kujisemesha peke yangu kuwa tetesi za Simba kutaka kumsajili beki wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa hazijaibuka kwa bahati mbaya hasa katika kipindi hiki ambacho tunaelekea katika…

Wahenga walisema lisemwalo lipo na kama halipo li njiani laja. Ninapokumbuka usemi huo, nikaanza kujisemesha peke yangu kuwa tetesi za Simba kutaka kumsajili beki wa kushoto wa Yanga, Joyce Lomalisa hazijaibuka kwa bahati mbaya hasa katika kipindi hiki ambacho tunaelekea katika…
account_circle
SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

MTU HATARI!
.
12 —WINGA wa Dortmund, Jadon Sancho, juzi alifanya dribo 12 dhidi ya PSG, akiweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufanya hivyo mara nyingi zaidi katika historia ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya nusu fainali baada ya Lionel Messi (16) ambaye aliwanyanyasa…

MTU HATARI! . 12 —WINGA wa Dortmund, Jadon Sancho, juzi alifanya dribo 12 dhidi ya PSG, akiweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufanya hivyo mara nyingi zaidi katika historia ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya nusu fainali baada ya Lionel Messi (16) ambaye aliwanyanyasa…
account_circle
SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

🎙️ JOYCE LOMALISA ::
.
“Mimi bado ni mchezaji wa Yanga, lakini mwisho wa msimu kila kitu kitajulikana kwasababu ndio mkataba unamalizika hivyo kama nitabaki au nitaondoka kila mmoja atafahamu,”
.
“Napenda kubaki Yanga lakini hawajanifuata kwaajili ya mazungumzo ya mkataba mpya…

🎙️ JOYCE LOMALISA :: . “Mimi bado ni mchezaji wa Yanga, lakini mwisho wa msimu kila kitu kitajulikana kwasababu ndio mkataba unamalizika hivyo kama nitabaki au nitaondoka kila mmoja atafahamu,” . “Napenda kubaki Yanga lakini hawajanifuata kwaajili ya mazungumzo ya mkataba mpya…
account_circle
SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

KAWABURUZA HUYO!
.
30/2 —TANGU 2021-22, supastaa wa Real Madrid, Vinicius Junior amehusika na mabao mengi zaidi Ligi ya Mabingwa Ulaya kuliko mchezaji yeyote Ulaya (30 – kafunga 15, asisti 15). Pia kafunga mara 2 katika mechi moja ya mashindano mara 13, na tano kati ya hizo msimu…

KAWABURUZA HUYO! . 30/2 —TANGU 2021-22, supastaa wa Real Madrid, Vinicius Junior amehusika na mabao mengi zaidi Ligi ya Mabingwa Ulaya kuliko mchezaji yeyote Ulaya (30 – kafunga 15, asisti 15). Pia kafunga mara 2 katika mechi moja ya mashindano mara 13, na tano kati ya hizo msimu…
account_circle
SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

🗣️ “Simba jana wamedondosha alama mbili muhimu kwasababu kwao ilikuwa muhimu kubeba alama 3 ili kujiweka sawa kukaa nafasi ya pili, kwa ilivyo sasa hata wakishinda mechi zao za Viporo hawashiki nafasi ya pili”

- Mchambuzi, George Job.

🗣️ “Simba jana wamedondosha alama mbili muhimu kwasababu kwao ilikuwa muhimu kubeba alama 3 ili kujiweka sawa kukaa nafasi ya pili, kwa ilivyo sasa hata wakishinda mechi zao za Viporo hawashiki nafasi ya pili” - Mchambuzi, George Job.
account_circle
SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

Kabla ya kwenda Ruangwa, Uongozi wa Simba uliwaongezea mikataba wachezaji wanne ::

🇹🇿 Israel Mwenda
🇹🇿 Mzamiru Yassin
🇹🇿 Kibu Dennis
🇹🇿 Kennedy Juma

Kabla ya kwenda Ruangwa, Uongozi wa Simba uliwaongezea mikataba wachezaji wanne :: 🇹🇿 Israel Mwenda 🇹🇿 Mzamiru Yassin 🇹🇿 Kibu Dennis 🇹🇿 Kennedy Juma
account_circle
SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameibuka na kusema kiungo wake, Pacome Zouzoua yupo tayari kuanza kucheza na leo Jumatano kuna uwezekano akampa nafasi, lakini itategemea na mazoezi ya mwisho.
.
Mara ya mwisho Pacome kuonekana uwanjani akiitumikia Yanga ilikuwa Machi 17, mwaka…

KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameibuka na kusema kiungo wake, Pacome Zouzoua yupo tayari kuanza kucheza na leo Jumatano kuna uwezekano akampa nafasi, lakini itategemea na mazoezi ya mwisho. . Mara ya mwisho Pacome kuonekana uwanjani akiitumikia Yanga ilikuwa Machi 17, mwaka…
account_circle