SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profileg
SportsArenaTz

@SportsarenatzTz

Sport is our first love ❤️

ID:1268429628076634114

calendar_today04-06-2020 06:29:34

8,5K Tweets

299,2K Followers

487 Following

SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

SIMBA itarejea katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi leo ikiwa itaibuka na ushindi dhidi ya Ihefu katika Uwanja wa Liti, Singida kuanzia saa 10 jioni.
.
Matokeo ya ushindi yataifanya Simba kufikisha pointi 48 na kuipiku kwa pointi moja, Azam FC ambayo kwa sasa ipo kwenye…

SIMBA itarejea katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi leo ikiwa itaibuka na ushindi dhidi ya Ihefu katika Uwanja wa Liti, Singida kuanzia saa 10 jioni. . Matokeo ya ushindi yataifanya Simba kufikisha pointi 48 na kuipiku kwa pointi moja, Azam FC ambayo kwa sasa ipo kwenye…
account_circle
SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

Klabu ya Yanga imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
.
Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo.
.
Pamoja na masuala mengine, Young…

Klabu ya Yanga imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). . Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo. . Pamoja na masuala mengine, Young…
account_circle
SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

KATIKA harakati za kupanua uwanja wao, Chelsea imenunua jengo lililokuwa makazi ya wanajeshi wastaafu 100 wa jeshi la Uingereza lililokuwa karibu na uwanja wanaoutumia.
.
Chelsea imetumia kiasi kisichopungua Pauni 80 milioni (Sh 259 bilion) kununua jengo hilo la Sir Oswald Stoll…

KATIKA harakati za kupanua uwanja wao, Chelsea imenunua jengo lililokuwa makazi ya wanajeshi wastaafu 100 wa jeshi la Uingereza lililokuwa karibu na uwanja wanaoutumia. . Chelsea imetumia kiasi kisichopungua Pauni 80 milioni (Sh 259 bilion) kununua jengo hilo la Sir Oswald Stoll…
account_circle
SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

🚨 JUST IN: Yanga wamewapigia simu Azam Media na kuwaamuru wafute Interview ya Mayele na kuziondoa Clip zote zilipostiwa katika mitandao ya kijamii kitu ambacho kimeshafanyika.

😬

🚨 JUST IN: Yanga wamewapigia simu Azam Media na kuwaamuru wafute Interview ya Mayele na kuziondoa Clip zote zilipostiwa katika mitandao ya kijamii kitu ambacho kimeshafanyika. 😬
account_circle
SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

Yanga imeshinda vita nyingine kubwa ya nje ya uwanja kimyakimya baada ya kumuongeza mkataba wa miaka miwili kiungo wake mshambuliaji, Stephanie Aziz Ki lakini Arena tumeambiwa amesaini kwa kuwa masharti moja kwa viongozi.
.
Aziz Ki amewaambia viongozi kwamba liwake inyeshe…

Yanga imeshinda vita nyingine kubwa ya nje ya uwanja kimyakimya baada ya kumuongeza mkataba wa miaka miwili kiungo wake mshambuliaji, Stephanie Aziz Ki lakini Arena tumeambiwa amesaini kwa kuwa masharti moja kwa viongozi. . Aziz Ki amewaambia viongozi kwamba liwake inyeshe…
account_circle
SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

Kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi anaendelea kuandika historia katika vitabu vya FAR Rabat kutokana na kukimbiza rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kukusanya pointi nyingi kwenye Ligi Kuu Morocco ndani ya misimu mitano.
.
FAR Rabat ni bingwa mtetezi msimu uliopita alitwaa…

Kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi anaendelea kuandika historia katika vitabu vya FAR Rabat kutokana na kukimbiza rekodi ya kuwa kocha wa kwanza kukusanya pointi nyingi kwenye Ligi Kuu Morocco ndani ya misimu mitano. . FAR Rabat ni bingwa mtetezi msimu uliopita alitwaa…
account_circle
Farhan Kihamu Jr(@FKihamu) 's Twitter Profile Photo

VIONGOZI WA SIMBA mliopo sasa mtanisahihisha kama kuna sehemu nadanganya nami nitakiri kosa, mnakumbuka moja kati ya mifumo ambayo mliikuta kwenye hii Simba ni mahusiano kati ya timu na timu, timu na shirikisho, timu na wafanyabiashara na timu dhidi ya Mawakala ama Kampuni za…

VIONGOZI WA SIMBA mliopo sasa mtanisahihisha kama kuna sehemu nadanganya nami nitakiri kosa, mnakumbuka moja kati ya mifumo ambayo mliikuta kwenye hii Simba ni mahusiano kati ya timu na timu, timu na shirikisho, timu na wafanyabiashara na timu dhidi ya Mawakala ama Kampuni za…
account_circle
SportsArenaTz(@SportsarenatzTz) 's Twitter Profile Photo

💬 Na sasa ni muda wa Simba kujitafakari. Wanatoka wapi na wanakwenda wapi? Yanga aliingia fainali za Shirikisho msimu uliopita na msimu huu ilibakia kidogo waende nusu fainali za Ligi ya mabingwa. Wana timu bora ambayo ina nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa Ligi ya ndani msimu…

🗣️ “Sina nia ya kuondoka hapa nimeletwa kwa sababu maalumu kama mpango huo hautokamilika nitaendelea kusalia kuitumikia timu ninayoipenda kwa moyo wangu wote, hata fedha haitaweza kujaza upendo nilionao kwa timu.”
.
“Rais Hersi Said alinisainisha hapa kwa sababu ana malengo ya…

🗣️ “Sina nia ya kuondoka hapa nimeletwa kwa sababu maalumu kama mpango huo hautokamilika nitaendelea kusalia kuitumikia timu ninayoipenda kwa moyo wangu wote, hata fedha haitaweza kujaza upendo nilionao kwa timu.” . “Rais Hersi Said alinisainisha hapa kwa sababu ana malengo ya…
account_circle