Sitta (@sitta_66) 's Twitter Profile
Sitta

@sitta_66

The End is Near......My greatest Desire is to See and Enter the New promised Jerusalem ๐Ÿ™ Isaya 1:18-19

ID: 1524684771053477890

calendar_today12-05-2022 09:36:39

32,32K Tweet

2,2K Takipรงi

497 Takip Edilen

!llum!nat! S0N ๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฝ (@northking25) 's Twitter Profile Photo

Naskia kuna tweep wa kike kafariki kwa UKIMWI na mmepiga wengi hivi majuzi kati ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ’”๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ†๐Ÿ†

CERTIFIED HATER PhD โœจ (@noedson_tz) 's Twitter Profile Photo

KINDLY RETWEET.๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ Sabuni zetu bado zipo za kutosha bosses, naomben mnipe hizo order Price: 12000 (12k) 5 Ltrs Location๐Ÿ“:Ubungo Mawasiliano Contactโ˜Ž๏ธ: 0786700273 Delivery ๐Ÿšš: Tunafanya kwa gharama za mteja

KINDLY RETWEET.๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Sabuni zetu bado zipo za kutosha bosses, naomben mnipe hizo order
 
Price:   12000 (12k) 5 Ltrs

Location๐Ÿ“:Ubungo Mawasiliano

Contactโ˜Ž๏ธ: 0786700273

Delivery ๐Ÿšš: Tunafanya kwa gharama za mteja
SAINT SKY (@skypixel_45) 's Twitter Profile Photo

Thank you, God. Today I have officially completed my Bachelorโ€™s Degree at the University of Dar es Salaam (UDSM).๐Ÿ™

Thank you, God. Today I have officially completed my Bachelorโ€™s Degree at the 
University of Dar es Salaam (UDSM).๐Ÿ™
John kalage ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Kufeli kupo, kuchoka kupo, kurudi nyuma kupo, kukatishwa tamaa kupo, kutokueleweka kupo Unapaswa kuwa mtu anaejaribu tena baada ya hayo yote

Charity (@consolataally) 's Twitter Profile Photo

Roho Mtakatifu azidi kukufunika na kukuongoza katika maisha yako.. Tunakuombea ulinzi wa Bikra Maria ndani yako uzidi kukua ukimpendeza Mungu na kumuomba yeye bila kuchoka.. Age with grace my daughter Anney

Roho Mtakatifu azidi kukufunika na kukuongoza katika maisha yako.. Tunakuombea ulinzi wa Bikra Maria ndani yako uzidi kukua ukimpendeza Mungu na kumuomba yeye bila kuchoka.. Age with grace my daughter Anney
The champ๐Ÿ‘‘ (@fintanjr_) 's Twitter Profile Photo

Nikikumbuka niliwahi kuomba hadi kazi ya Sensa na postcode na nikakosa!! Yani na degree yangu naonekana sijui kuhesabu watu?,. Sijui nani atanifuta haya machozi๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”๐Ÿค’