Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile
Simba Sports Club

@simbasctanzania

The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)

ID: 3318397774

linkhttps://simbasc.co.tz/app calendar_today11-06-2015 03:30:05

21,21K Tweet

1,7M Takipçi

41 Takip Edilen

Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Gari la kuuza jezi kutoka kwa Sandaland The Only leo litakuwepo Mbagala Zakhem. Mwanasimba ambaye bado hujapata jezi wa maeneo hayo leo ndio siku kununua uzi bora nchini.

Okejepha “Nikiendelea kufurahia Mo Cola, kinywaji pendwa chenye ladha ya kipekee. Ninawatia moyo vijana wote wanaotamani kuwa wachezaji mpira wakubwa ni sawa kuanzia chini. Usikate tamaa. Kwa juhudi na imani, tutafikia malengo yetu.” Kunywa Mo Cola na ujipe nguvu ya kufikia.

Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

𝐌𝐀𝐇𝐎𝐉𝐈𝐀𝐍𝐎 𝐌𝐀𝐀𝐋𝐔𝐌𝐔 𝐍𝐀 𝐊𝐎𝐂𝐇𝐀 𝐅𝐀𝐃𝐋𝐔. 👉 Kiwango cha Ateba. 👉 Kushinda Tuzo ya Kocha Bora wa mwezi Agosti, 2024. 👉 Maandalizi kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.👉 Neno kwa Wanasimba. Kuangalia mahojiano kamili ingia Simba App au YouTube -

Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Mchezo wa kirafiki dhidi ya JKT Tanzania umeisha tukiibuka na ushindi wa mabao 2-0. Taarifa zaidi kwenye Simba App. Jiunge na Simba Bando kwa kupiga *149*01# > 8> 1 ili upate dakika za kupiga, sms na data. #WenyeNchi #NguvuMoja

Mchezo wa kirafiki dhidi ya JKT Tanzania umeisha tukiibuka na ushindi wa mabao 2-0. Taarifa zaidi kwenye Simba App.

Jiunge na Simba Bando kwa kupiga *149*01# > 8> 1 ili upate dakika za kupiga, sms na data. #WenyeNchi #NguvuMoja
Simba Sports Club (@simbasctanzania) 's Twitter Profile Photo

Shoo inavyokuwa Inspekta wa Simba anapokutana na kamanda wa JKT. Jiunge na Simba Bando kwa kupiga *149*01# > 8> 1 ili upate dakika za kupiga, sms na data. #WenyeNchi #NguvuMoja

Shoo inavyokuwa Inspekta wa Simba anapokutana na kamanda wa JKT.

Jiunge na Simba Bando kwa kupiga *149*01# > 8> 1 ili upate dakika za kupiga, sms na data. #WenyeNchi #NguvuMoja