Simba Sports Club
@SimbaSCTanzania
The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)
ID:3318397774
https://simbasc.co.tz/app 11-06-2015 03:30:05
20,3K Tweets
1,6M Followers
38 Following
Follow People
'Kikosi kitawasili kesho majira ya saa 12:40 alfajiri na baadae tutafanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Tiketi zinaanza kuuzwa leo na natoa rai kwa kila Mwanasimba kununua tiketi yake mapema.'- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
'Hii Simba ni yetu Wanasimba, ikifanikiwa ni yetu, ikianguka ni yetu. Sisi ndio wenye timu kusimama imara kuhakikisha timu yetu inafanya vizuri. Moja ya sababu ya kuwa pamoja na timu yako ni kuwa na kadi ya shabiki.'- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
'Mechi yetu ya tarehe 25 dhidi ya KMC ni mechi ya kufa na kupona, ni mechi tunaingia kama mbogo. Viingilio ni Mzunguko - Tsh. 10,000, VIP C - Tsh. 15,000 na VIP A - Tsh. 30,000.'- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
'Yapo maneno mengi mitandaoni kwamba Mohammed Dewji (Mohammed Dewji MO) hatoi pesa lakini niwambie, Mohammed Dewji ni Simba na Simba ni Mohammed Dewji. Fedha yote ya usajili ya msimu huu anatoa Mohammed Dewji na mzigo ambao umetengwa ni kufuru. Mohammed Dewji tupo naye na usajili
'Simba mpya inakuja, Simba ya hatari inarejea, heshima ya mjini inarudi. Msimu ujao tukileta mechi hapa itakuwa mechi ya kusherekea.'- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
'Wachezaji ambao tutasajili ni wenye hadhi ya kucheza Simba na wenye njaa ya mafanikio. Msimu ujao hatutacheka na kima, tutaongeza ukali kwenye eneo la upinzani na ndani ya timu yetu.'- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
'Wachezaji wote ambao wanamaliza mikataba na tathmini inaonyesha bado tunawahitaji, tunawabakiza. Hakuna mchezaji ambaye bado tuna malengo naye ataondoka.'- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
'Tunapaswa kuipambania timu yetu, kama tukiacha timu yetu tutakosa nafasi ya Ligi ya Mabingwa na tutapata hasara.'- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
'Nafasi bado ipo wazi ya kwenda Ligi ya Mabingwa msimu ujao lakini lazima tuambiane ukweli nafasi hiyo ni ngumu. Sisi kwa ukongwe wetu tukisimama imara Mnyama atapata nafasi.'- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
'Wanasimba wa Arusha mna kazi kubwa ya kuhakikisha Simba inakwenda Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Msimu ujao tunahitaji kuongeza alama za CAF, na njia pekee ni kushikiri Ligi ya Mabingwa Afrika sababu ndio michuano yenye pointi nyingi.'- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
'Mchezo wa Jumamosi tunahitaji ushindi, hatuna option nyingine, tena ushindi mkubwa.'- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
'Kikubwa kilichotuleta Arusha ni mechi ya Ligi Kuu dhidi ya KMC, mchezo ambao utachezwa tarehe 25 majira ya saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.'- Ahmed Ally. #WenyeNchi #NguvuMoja
Kutokea kwenye Tawi la Arusha Terminal, Semaji Ahmed Ally atanguruma kuzungumza na Wanasimba.
Tutakuwa LIVE kupitia Simba App na YouTube - Simba SC Tanzania. #WenyeNchi #NguvuMoja
Semaji Ahmed Ally akizungumzia mchezo ujao dhidi ya KMC ambao utapigwa jijini Arusha. #WenyeNchi #NguvuMoja