
Jane Shussa
@shussajane
Digital Communications | Columnist @TheCitizenTz | Coffee ☕ | Travel | Nature🌳🪴 | Books 📚 | #NinaSoma | #MaishaKuishi
ID: 1238181230
https://maishakuishi.com/ 03-03-2013 07:06:46
25,25K Tweet
8,8K Takipçi
1,1K Takip Edilen
















Saratani si jambo dogo. Vitu vitatu muhimu pale unapopitia jambo hili kwa mujibu wa Prof Mark J. Mwandosya: 1. Imani kwa mwenyezi Mungu 2. Madaktari, wauguzi na utawala wa hospital 3. Familia na jumuiya - "bila familia na jumuiya ningeweza kukata tamaa." maishakuishi.com/living-with-ca…