Denis_developer(@ShijaDenis) 's Twitter Profileg
Denis_developer

@ShijaDenis

Mobile repair expert | Computer maintenance pro | Android enthusiast | Let's get your tech Sorted! | WhatsApp/SMS/Calls: 0614883686/0748433686

ID:3651004816

calendar_today14-09-2015 08:05:25

4,8K Tweets

702 Followers

865 Following

Tech Arena(@techarena_tz) 's Twitter Profile Photo

Samsung S23 Ultra ilitambulishwa rasmi tarehe 17 February 2023 pamoja na model nyingine ( S23 na S23 plus) kwa bei ya kuanzia Β£1249.
Sasa S23 ultra imeshuka na kufikia Β£669( sawana nusu ya bei ya uzinduzi).

Samsung S23 Ultra ilitambulishwa rasmi tarehe 17 February 2023 pamoja na model nyingine ( S23 na S23 plus) kwa bei ya kuanzia Β£1249. Sasa S23 ultra imeshuka na kufikia Β£669( sawana nusu ya bei ya uzinduzi).
account_circle
Denis_developer(@ShijaDenis) 's Twitter Profile Photo

Ukiachana na GSM arena kwa kua na comparison nzuri ya simu site nyingine ambayo unaeza ukapata Majibu poa ya kulinganisha simu mbili na uweze kuamua ipi ni Bora Versus site wako poa mnoo kwenye kulinganisha devices phones

Ukiachana na GSM arena kwa kua na comparison nzuri ya simu site nyingine ambayo unaeza ukapata Majibu poa ya kulinganisha simu mbili na uweze kuamua ipi ni Bora Versus site wako poa mnoo kwenye kulinganisha devices #mobile phones
account_circle
Denis_developer(@ShijaDenis) 's Twitter Profile Photo

Reddit huw napata Majibu ya mambo kibao Yani nikiw na kitu flan complex nahitaji solution huw naitag sana reddit ata kwenye searching zangu google mfano wa search kama 'android 15 beta one issues reddit ' hapa nikiingia reddit nakutana na kile kitu nataka πŸ’―

account_circle
Denis_developer(@ShijaDenis) 's Twitter Profile Photo

Recovery mode /stock recovery mode ni Moja ya mode yenye matumiz mengi kwenye android phones je wewe huwa unaitumia vipi mode hii ...πŸ‘‡

Recovery mode /stock recovery mode ni Moja ya mode yenye matumiz mengi kwenye android phones je wewe huwa unaitumia vipi mode hii ...πŸ‘‡
account_circle