Scolawilla
@scolawilla1
scolawilla
ID: 1315274993899626496
11-10-2020 12:57:09
38 Tweet
125 Takipçi
536 Takip Edilen
Nampongeza mdogo wangu Mwamvita Makamba kwa kukusanya katika kitabu nasaha kwa binti yake. Nilishiriki uzinduzi wa kitabu hicho uliohudhuriwa na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete. Ilikuwa shughuli nzuri iliyoambatana na panels za wazazi wa mabinti juu ya malezi. Mjadala juu ya malezi huwa hauishi