Samson Ernest (@samsonernest_) 's Twitter Profile
Samson Ernest

@samsonernest_

Soma Neno Ukue Kiroho
Liwe Jua Iwe Mvua Soma Biblia Yako

ID: 812232843749453824

linkhttp://www.chapeo.or.tz calendar_today23-12-2016 09:46:15

27,27K Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

IAmHaule (@iamhaule) 's Twitter Profile Photo

Mambo 5 Yanayojenga Moyo wa Mtu : 1. Mapambano ya kila siku. 2. Kushinda hofu. 3. Kupita vikwazo. 4. Kutoogopa kuanza tena. 5. Kuamini mchakato.

Chapeo Ya Wokovu (@chapeoyawokovu) 's Twitter Profile Photo

Imba, wewe uliye tasa, wewe usiyezaa; paza sauti yako kwa kuimba, piga kelele, wewe usiyekuwa na utungu; maana watoto wake aliyeachwa ni wengi kuliko watoto wake yeye aliyeolewa, asema Bwana. Isaya 54:1

Chapeo Ya Wokovu (@chapeoyawokovu) 's Twitter Profile Photo

Yohana 14:27 Amani nawaachieni; amani yangu nawapa; niwapavyo mimi sivyo kama ulimwengu utoavyo. Msifadhaike mioyoni mwenu, wala msiwe na woga.

Samson Ernest (@samsonernest_) 's Twitter Profile Photo

Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu, yafanyeni imara magoti yaliyolegea. Waambieni walio na moyo wa hofu, Jipeni moyo, msiogope; tazama, Mungu wenu atakuja na kisasi, na malipo ya Mungu; atakuja na kuwaokoa ninyi. Isa 35:3-4 SUV

Samson Ernest (@samsonernest_) 's Twitter Profile Photo

Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu, wapate kuyaona matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni. Mt 5:16 SUV