SABAS ASSENGA(@SabasAsenga) 's Twitter Profile Photo

Penina anaonekana kabisa ni
Made from Singapore au Kilimanjaro Line
Kama Singapore Mbwana Makata sio mtu wa kumuamini sana

Penina anaonekana kabisa ni
Made from Singapore au Kilimanjaro Line
Kama Singapore Mbwana Makata sio mtu wa kumuamini sana
account_circle
SABAS ASSENGA(@SabasAsenga) 's Twitter Profile Photo

Punzika kwa amani Emmanuel huyu jamaa juzi jamaa kamkodi kama abiria alafu inasemekeana hajambeba mara Moja kashambeba mara mbili tatu kampeleka mkambarani ameenda kule wamemfunga mikono wamemkata mapanga ya kichwani simu wamechukua na pikipiki number E INAUMA SANA VIJANA ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต follow SABAS ASSENGA

๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต๐Ÿฉต follow @SabasAsenga
account_circle
SABAS ASSENGA(@SabasAsenga) 's Twitter Profile Photo

Wakati wa kwenda Kulala

Ee Mungu wangu, pokea Roho yangu, kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo aliyesulubiwa

Ninalala ili nipumzike. Unibariki Ee Bwana , na unikinge, uniepushe na Kifo cha Ghafla na kisichotarajiwa na hatari za zote pamoja na wewe unilie uzima wa Milele. Amina

SABAS ASSENGA

๐ŸŒน๐Ÿ•Š๏ธ
Mr.Knight
โœฐ๐’แด€สŸแดแด€ษดโœฐ
Ridwan R1๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ
โœฏ๐‘๐ข๐ณ๐ฐ๐š๐ง๐š ๐‘๐š๐ฌ๐ก๐ข๐โœฏ แดพแตƒแตแดพแต’สทแต‰สณ
๐ŸŒธ๐”ธ๐•€๐•Šโ„๐”ธ โ„•๐•†๐•†โ„๐ŸŒธ
#TmSofia
#๐•พ๐–š๐–•๐–Š๐–—๐•ฑ๐–—๐–Ž๐–Š๐–“๐–‰๐Ÿ’ซ #๐•ฟ๐–”๐–•๐•ฑ๐–—๐–Ž๐–Š๐–“๐–‰๐–˜๐Ÿฆ‹
๊ง๐Ÿ††๐Ÿ…ธ๐Ÿ…ณ๐Ÿ…ธ๐Ÿ…ฐ๐Ÿ…ฝ๐Ÿ…ฐ๐Ÿ…ฝ๐Ÿ†ƒ๐Ÿ…พ๊ง‚
Toni
Doc Mazz-Frankie
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ทLouzival 2011 MGWV #TeamlouziGroup
Dr. M. l. Haque #TMMIH10
๐Ÿ’ž ๐”€๐“ฑ๐“ฒ๐“ผ๐“น๐“ฎ๐“ป ๐Ÿ’ž ( โ€๐“๐“ต ) ๐Ÿ˜˜
Al J Corona ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น
alaa amy
๐Ÿ‡ด . ๐Ÿ‡ฉ . ๐Ÿ‡จ . ๐Ÿ‡ฌ .
Laura
Selene ๎จ€ ๐•๐Ÿ–คPerfectly imperfect ๐Ÿ–คโŒDMโŒ
ArrowFlynn
Sidney ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท
SportISmyLIFE โšฝโšพ๐ŸฅŽ๐Ÿ€๐Ÿ๐Ÿˆ๐Ÿ‰๐ŸŽพ๐ŸŽณ๐Ÿ๐Ÿ“โ›ณ
Soraya12345
@Et

@SabasAsenga

๐ŸŒน๐Ÿ•Š๏ธ
@MrMrnagah 
@3Slmn 
@R1_Adv 
@riz4h 
@950nk 
@mvf7186
@nbea_h 
@WidzDj 
@ToniLL22 
@doc_mazz 
@louzival2011 
@MIHaque10 
@bdonesem 
@altracorona 
@Alaayous3 
@Dark_Camus
@Laurapecim 
@florchicana 
@flynn_arrow 
@sidney_1960 
@CarloSportfan
@Soraya123455
@Et
account_circle
SABAS ASSENGA(@SabasAsenga) 's Twitter Profile Photo

โš ๏ธMaisha yetu kwa Ground ni magumu sana hivyo usimchukie mtu bila sababu maalumu๐Ÿ™Œ unaweza kuta unaemchukia ukiujua uhalisia wake utatatamani UMUHURUMIE.โ€๐Ÿ“Œ follow SABAS ASSENGA

โš ๏ธMaisha yetu kwa Ground ni magumu sana hivyo usimchukie mtu bila sababu maalumu๐Ÿ™Œ unaweza kuta unaemchukia ukiujua uhalisia wake utatatamani UMUHURUMIE.โ€๐Ÿ“Œ follow @SabasAsenga
account_circle
SABAS ASSENGA(@SabasAsenga) 's Twitter Profile Photo

โš ๏ธNgazi iliyovunjika inakufanya upande hatua mbili kwa mara moja. Siku zote kwenye maisha vikwazo ni muhimu.๐Ÿ“Œ follow me SABAS ASSENGA

โš ๏ธNgazi iliyovunjika inakufanya upande hatua mbili kwa mara moja. Siku zote kwenye maisha vikwazo ni muhimu.๐Ÿ“Œ follow me @SabasAsenga
account_circle
SABAS ASSENGA(@SabasAsenga) 's Twitter Profile Photo

โš ๏ธIngawa Hatuwezi Kuelewa Njia Za Maisha Ila Haifai Kwetu Kufa Moyo , Yatupasa Kuwa Na Imani Juu Ya Mungu , Sababu Njia Zake Sio Njia Zetu๐Ÿ™๐Ÿ“Œ.

Miaka 28 tangu kuzama kwa meli ya MV Bukoba na kusababisha vifo vya maelfu ya watu katika Ziwa Victoria, Tanzania na dunia kwa ujumla imefanya kumbukizi nyingine leo hii Mei 2

Tupe maoni yako nasi tutayasoma kwenye MITANDAONI wakati wa ukiwa na @moseskwindi

Miaka 28 tangu kuzama kwa meli ya MV Bukoba na kusababisha vifo vya maelfu ya watu katika Ziwa Victoria, Tanzania na dunia kwa ujumla imefanya kumbukizi nyingine leo hii Mei 2

Tupe maoni yako nasi tutayasoma kwenye MITANDAONI wakati wa #AzamNews ukiwa na @moseskwindi
account_circle