Rais Wa Wambea (@soudybrown) 's Twitter Profile
Rais Wa Wambea

@soudybrown

TV / Radio Personality | XXL #YouHeard @cloudsFmTz | #TheSatelite Coming Soon......

ID: 187537415

linkhttps://linktr.ee/SoudyBrown calendar_today06-09-2010 14:21:42

14,14K Tweet

80,80K Takipçi

324 Takip Edilen

Rais Wa Wambea (@soudybrown) 's Twitter Profile Photo

TANGAZO KWA RAPPERS Kama Chid Benz Amepiga Collabo Na Diamond, Fursa Kwako wewe ni King Kiba, pita na Upepo wa Hawa Vingunge wenye Ushawishi mkubwa, Kama Wimbo wao utakua wa Taifa basi Wako wewe Ft Kiba utakua National Anthem 😜 Ombi langu Kwa King akiombwa Collab asichomoe 🙏

TANGAZO KWA RAPPERS
Kama Chid Benz Amepiga Collabo Na Diamond, Fursa Kwako wewe ni King Kiba, pita na Upepo wa Hawa Vingunge wenye Ushawishi mkubwa, Kama Wimbo wao utakua wa Taifa basi Wako wewe Ft Kiba utakua National Anthem 😜
Ombi langu Kwa King akiombwa Collab asichomoe 🙏
Rais Wa Wambea (@soudybrown) 's Twitter Profile Photo

Joslin Kukiri on Radio kuwa aliwahi kutumia Dawa Za Kulevya akapelekwa Sober and eti its not a Big Deal, Amejichinja Mbele ya Kadamnasi, Raia wanaweza wasizingatie sana kazi zake, Hvyo itamlazimu kuwa na Budget kubwa ya Ku promote Nyimbo zake ili kuwasahaulisha kuhusu Skendo ya..

Baba Levo anawatukana wasanii, Anatangaza Kwa Umma eti “Hawana Nyumba Hawana Magari” Kauli kama hizi Hata kama ni kweli basi zinatakiwa kuwa za Faragha, Aiombe radhi Music Industry Ya Tanzania, Imetoka mbali sana siku hizi Wasanii Mamilionea ni wengi mno

Tuwe Wa Kwanza Kulipia Bidhaa Au Huduma Zinazotolewa na Kuuzwa na Watu Tunaowafahamu, Inaongeza Love. na Sio Kutaka Vitu 4 Free (Kitonga) Inapunguza….💔

Rais Wa Wambea (@soudybrown) 's Twitter Profile Photo

Mfalme wa BongoFlava #KingKiba Aingia Mazima Kwenye Biashara ya Media, Inasemekana ata washa mitambo ya Media yake Kabla ya Mwezi wa Nne 2024, All the Best King

Uzinduzi wa #CrownFmByAliKiba Hapa HyattRegency, KingKiba anasema Hii itakua sio Radio ya Familia, Hapa ni Nyumbani kwa Kila mtu Dongo Kwa DiamondPlatNumz 😜 Upanga Umenyanyuliwa Upyaaa

Rais Wa Wambea (@soudybrown) 's Twitter Profile Photo

Bata Za Diddy…hizi zinazomhatarishia kwenda Kifungoni, Na Hapa Bongo Zipo, Mhusika ajifunze kupitia kwa Jamaa, Namshauri aache na kutubu kwa Mola wake, au aendeleze Kiama chake kinakuja Ukiishi kwa Upanga, utakufa kwa Upanga

Bata Za Diddy…hizi zinazomhatarishia kwenda Kifungoni, Na Hapa Bongo Zipo, Mhusika ajifunze kupitia kwa Jamaa, Namshauri aache na kutubu kwa Mola wake, au aendeleze Kiama chake kinakuja
Ukiishi kwa Upanga, utakufa kwa Upanga
Rais Wa Wambea (@soudybrown) 's Twitter Profile Photo

Mpende unaempenda (Rafiki) kwa Kiwango maalum, Katika 100% Mpe 20% Usimwambie kila kitu chako, Usimwamini saaana, Kwasababu Huyu unaempenda Leo, Kesho anaweza kuja kuwa Adui yako