Small Business Ladder (@sb_ladder) 's Twitter Profile
Small Business Ladder

@sb_ladder

Supporting small businesses with expert insights, practical resources, and growth strategies. Your partner in entrepreneurial success. #SmallBusinessMatters

ID: 1857671772767662080

calendar_today16-11-2024 06:28:00

211 Tweet

2,2K Followers

8 Following

Small Business Ladder (@sb_ladder) 's Twitter Profile Photo

“Kuna wakati wa shule na wakati wa kulima. Hakuna atakayekuletea chakula mezani ikiwa hujitumi mwenyewe huko nje.” - Nyan Achai

“Kuna wakati wa shule na wakati wa kulima. Hakuna atakayekuletea chakula mezani ikiwa hujitumi mwenyewe huko nje.” - Nyan Achai
It's Envy (@winstone_nnko) 's Twitter Profile Photo

Remember this: Don't be afraid to dream big, but always ensure your dreams uplift and inspire rather than harm those around you.

Small Business Ladder (@sb_ladder) 's Twitter Profile Photo

Kama unataka kuwa na udhibiti wa gharama za gari lako, pakua Casandra! App hii itakusaidia kutengeneza bajeti nzuri kwa maintenance na kuepuka kupigwa na mafundi. Inapatikana kwenye App Store na Play Store. Nimeshaipakua, nawe? 📱🚗 Walter David | 𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚

Kama unataka kuwa na udhibiti wa gharama za gari lako, pakua Casandra! 

App hii itakusaidia kutengeneza bajeti nzuri kwa maintenance na kuepuka kupigwa na mafundi. 

Inapatikana kwenye App Store na Play Store. 

Nimeshaipakua, nawe? 📱🚗

<a href="/naitwaWalter/">Walter David</a> | <a href="/Labella_Mafia95/">𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚</a>
It's Envy (@winstone_nnko) 's Twitter Profile Photo

Before I bid farewell to 2024, let me take a moment to thank myself for: - Believing in me - Showing up every day, no days off - Staying true to who I am - Putting in the hard work - Never give up - Giving more than I take Here’s to growth, resilience, and more wins in 2025!

𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Kukataliwa sio mwisho wa safari. 2008: Brian Acton alikataliwa na Twitter. 2009: Alikataliwa na Facebook na hata venture capitalists wakasema ana ndoto za alinacha. Lakini baadaye 2009, akaanzisha WhatsApp, iliyouzwa kwa $19B kwa Facebook mwaka 2014. 🧵Thread: ⬇️

Kukataliwa sio mwisho wa safari.

2008: Brian Acton alikataliwa na Twitter.

2009: Alikataliwa na Facebook na hata venture capitalists wakasema ana ndoto za alinacha.

Lakini baadaye 2009, akaanzisha WhatsApp, iliyouzwa kwa $19B kwa Facebook mwaka 2014.

🧵Thread: ⬇️
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Brian Acton alikutana na rafiki yake Jan Koum mwaka 1997 walipokuwa wafanyakazi wa Yahoo! Baada ya miaka 11 ya kufanya kazi pamoja, waliamua kuacha ajira zao na kujaribu fursa mpya katika ulimwengu wa teknolojia. Walikuwa na ndoto ya kujiunga na kampuni kubwa kama Facebook,

Brian Acton alikutana na rafiki yake Jan Koum mwaka 1997 walipokuwa wafanyakazi wa Yahoo!

Baada ya miaka 11 ya kufanya kazi pamoja, waliamua kuacha ajira zao na kujaribu fursa mpya katika ulimwengu wa teknolojia.

Walikuwa na ndoto ya kujiunga na kampuni kubwa kama Facebook,
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Toleo la kwanza la WhatsApp lilikuwa na changamoto nyingi, likiwemo ku-crash mara kwa mara. Hata hivyo, baada ya Apple kuzindua push notifications, watumiaji walianza kuongezeka kwa kasi. Ifikapo mwaka 2011, WhatsApp ilikuwa moja ya programu maarufu zaidi katika Apple shop.

Toleo la kwanza la WhatsApp lilikuwa na changamoto nyingi, likiwemo ku-crash mara kwa mara.

Hata hivyo, baada ya Apple kuzindua push notifications, watumiaji walianza kuongezeka kwa kasi.

Ifikapo mwaka 2011, WhatsApp ilikuwa moja ya programu maarufu zaidi katika Apple shop.
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Masomo kutoka kwa hadithi ya Brian Acton: 1️⃣ Kukataliwa si mwisho; ni mwanzo wa fursa mpya. Baada ya kukataliwa na Facebook na Twitter, Brian aliendelea na ndoto yake. 2️⃣ Wazo rahisi linaweza kubadili maisha. WhatsApp ilianza kama njia rahisi ya kuwasiliana na leo inatumiwa na

Masomo kutoka kwa hadithi ya Brian Acton:

1️⃣ Kukataliwa si mwisho; ni mwanzo wa fursa mpya. Baada ya kukataliwa na Facebook na Twitter, Brian aliendelea na ndoto yake.

2️⃣ Wazo rahisi linaweza kubadili maisha. WhatsApp ilianza kama njia rahisi ya kuwasiliana na leo inatumiwa na
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 (@labella_mafia95) 's Twitter Profile Photo

Kuna app inaitwa Cassandra, imenisaidia sana kwa ushauri wa magari. Ukitaka kununua gari, inakusaidia kuchagua gari linaloendana na matumizi yako na kukupa thamani ya pesa yako. Nimeitumia, imenipa maarifa mazuri kuhusu magari. Pakua sasa: 📲 Play Store & App Store.

Kuna app inaitwa Cassandra, imenisaidia sana kwa ushauri wa magari. 

Ukitaka kununua gari, inakusaidia kuchagua gari linaloendana na matumizi yako na kukupa thamani ya pesa yako.

Nimeitumia, imenipa maarifa mazuri kuhusu magari. Pakua sasa:

📲 Play Store &amp; App Store.
Small Business Ladder (@sb_ladder) 's Twitter Profile Photo

Mpendwa Mjasiriamali, mwaka 2025 kumbuka: 1️⃣ Hifadhi rekodi zako zote. 2️⃣ Tumia mitandao ya kijamii kufikia wateja wapya na kujifunza kuhusu soko na ushindani. 3️⃣ Ajiri tabia, fundisha ujuzi. 4️⃣ Jifunze kuomba na kudhibiti hisia zako. Mafanikio yatakuwa yako!

Mpendwa Mjasiriamali, mwaka 2025 kumbuka:

1️⃣ Hifadhi rekodi zako zote.

2️⃣ Tumia mitandao ya kijamii kufikia wateja wapya na kujifunza kuhusu soko na ushindani.

3️⃣ Ajiri tabia, fundisha ujuzi.

4️⃣ Jifunze kuomba na kudhibiti hisia zako.

Mafanikio yatakuwa yako!