Latto ๐• (@rydx_017) 's Twitter Profile
Latto ๐•

@rydx_017

What's Trending? || Dm ๐Ÿ“ฉ for Promo.

ID: 1305474280256307201

calendar_today14-09-2020 11:51:57

74,74K Tweet

85,85K Takipรงi

805 Takip Edilen

Latto ๐• (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Nandy Ni Mtata ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ Hapo anawaza tu, "yani after Aniversary yetu baada ya kunivalisha Pete, hichi ndio unafanya Baba Naya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ" Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Nandy Ni Mtata ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ

Hapo anawaza tu, 

"yani after Aniversary yetu baada ya kunivalisha Pete, hichi ndio unafanya Baba Naya ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ"

Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡
Latto ๐• (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Mlikuwa mnataka Reaction ya Dotto Magari baada ya show ya Msanii wake jana. Haya hii hapa. Msikilize, Dogo Rema ndio kaamka ๐Ÿ˜… Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Mlikuwa mnataka Reaction ya Dotto Magari baada ya show ya Msanii wake jana.

Haya hii hapa.

Msikilize,

Dogo Rema ndio kaamka ๐Ÿ˜…

Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡
Latto ๐• (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Waandishi wa MJINI FM, waliosimamishwa kazi baada ya kum-bully Dogo Paten Mmoja Ameomba msamaha kwa aliyoyafanya, Mwingine ka-print Tisherts za Maandishi Matatu, While Bimdada kakaa kimya anaasambaza Tishert ziuzwe ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Waandishi wa MJINI FM,

waliosimamishwa kazi baada ya kum-bully Dogo Paten

Mmoja Ameomba msamaha kwa aliyoyafanya,

Mwingine ka-print Tisherts za Maandishi Matatu,

While Bimdada kakaa kimya anaasambaza Tishert ziuzwe ๐Ÿ™†โ€โ™‚๏ธ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Video kwa Comments ๐Ÿ‘‡
Latto ๐• (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Baada ya Tukio la Jana, Billnass leo amepost kumuomba Msamaha mkewe kwa alichokifanya. Unajua kaandika nini? Screenshot kwa Comments ๐Ÿ‘‡

Baada ya Tukio la Jana,

Billnass leo amepost kumuomba Msamaha mkewe kwa alichokifanya.

Unajua kaandika nini?

Screenshot kwa Comments ๐Ÿ‘‡
SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Billnass na Nandy walitupa :- 1. Bugana 2. Party ft Mr Eazi 3. Totorimi โ€˜Partyโ€™ ndio ilikuwa ngoma yangu ila ilipokuja โ€˜Totoromiโ€™ nikahama chama. Hiyo โ€˜Partyโ€™ haikupewa tu promo ya kutosha ila level yake ni global, Mr Eazi alijiachia sana humo ndani.

Billnass na Nandy walitupa :-

1. Bugana
2. Party ft Mr Eazi
3. Totorimi

โ€˜Partyโ€™ ndio ilikuwa ngoma yangu ila ilipokuja โ€˜Totoromiโ€™ nikahama chama.

Hiyo โ€˜Partyโ€™ haikupewa tu promo ya kutosha ila level yake ni global, Mr Eazi alijiachia sana humo ndani.