MTECH TZ (@remigiusalibent) 's Twitter Profile
MTECH TZ

@remigiusalibent

Operator of hydrolic excavator

ID: 1495470911495016454

calendar_today20-02-2022 18:51:04

206 Tweet

2,2K Followers

2,2K Following

MTECH TZ (@remigiusalibent) 's Twitter Profile Photo

Aliyebadili din kwajil ya mwanamke ameachwa,aliyekopa pesa kwa ajili ya kumfurahisha mwanamke ameachwa siku ya marejesho,aliyesomesha mwanamke chuo kikuu ameachwa ameachwa baada ya graduation ,usifanye maamuz kwa kutumia hisia, tumia siku nyingi kufanya utafiti

MTECH TZ (@remigiusalibent) 's Twitter Profile Photo

Hakuna wa kuchukua nafasi yako,Hakuna wakuchukua mkate wa mwingine, ila mpaka pale zamu yako itakapofika basi wapigie makofi wenzako kwa upendo