Rehema Mwakalinga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ(@RehemaGm) 's Twitter Profileg
Rehema Mwakalinga ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@RehemaGm

๐Ÿ‘ ๐Ÿ‘œ๐Ÿ‘—๐Ÿ‘–๐Ÿ‘›๐Ÿ‘”๐Ÿ‘˜๐Ÿ‘™
#God first,
#Born Again ๐Ÿ’ƒ๐Ÿ’ช,
#Believer
#Nyakyusa girl๐Ÿ’ƒ,
#Manchester united/Yanga african๐Ÿ’ช.
#Agribusiness
#Airbnb service located in Dar

ID:1282558116

calendar_today20-03-2013 07:08:22

27,6K Tweets

9,7K Followers

5,6K Following

Carol Ndosi(@CarolNdosi) 's Twitter Profile Photo

โ€œBasi, nendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;โ€
Mathayo 28:19 SRUVDC bible.com/bible/1817/matโ€ฆ

account_circle
Deogratius(@Deogratius_2020) 's Twitter Profile Photo

Asubuhi yetu ikawe heri, tukiamka na nyuso za furaha tukiwa na shukrani kwa afya njema na furaha katika nyoyo zetu, tukiwa tayari kukabiliana na changamoto za siku kwa matumaini na ari mpya.

Good morning gam

account_circle
lizzy(@Lizzymic5050) 's Twitter Profile Photo

Na Mungu wa mbinguni awalinde siku ya Leo, kila palipo fungwa paka funguliwe๐Ÿ™๐Ÿ™

Uwe na siku njema ๐Ÿ˜˜๐Ÿฅฐ

account_circle
Muhaluro Jr(@muhaluro1) 's Twitter Profile Photo

Tumshukuru MUNGU MWENYEZI Kwa Siku Nyingine Tena Kwani Bado Tunaishi Kwa NEEMA Zake Zisizo Na Ukomo. ๐Ÿ™๐Ÿฟ

MUNGU Akupe Hitaji Lako La Moyo Wewe Unaesoma Post Hii Na Kuwalinda Wale Uwapendao. ๐Ÿ”ฅ

Good Morning Dear Brothers en Ss' ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟโœ๐Ÿฟ

account_circle
Bahati Mhagama(@lady_bahati) 's Twitter Profile Photo

Good morning, just a quick reminder life never stops because you are going through something hard accept it as part of growing and keep moving. Have a great Friday.

account_circle
Jizzle(@Jizzlewantandu) 's Twitter Profile Photo

Ee Bwana ulimwengu wote u katika uwezo wako wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda Baba wa Mbingu & Nchi
Good morning chosen people

account_circle
YUSUPH(@Yuzo2fa8) 's Twitter Profile Photo

Mtawala wa vitu vyote vya duniani na mbinguni tena alie tukuka ni yeye Allah, ndie mwenye funguo za rizki na za hatima ya maisha yetu, basi utupe riziki bwana kwa utukufu wako na utukinge na ma balaa kwa huruma zako. Amin
Good morning

account_circle
ATR Mtilingโ€™ati(@Religion_ATR) 's Twitter Profile Photo

Usiku mwingine wa kukumbushana kuwa

โ€œDini ilitumika kama kilainishi cha mchakato wa Afrika kutawaliwa kirahisi, na hii haikuishia wakati huo maana hata sasa viongozi wa dini ni watawala kwa waumini waoโ€

Kabla ya dini kuwa kwanza BINADAMU.

account_circle