@redpill545
Wuueh☠️
ID: 1796511514314072064
calendar_today31-05-2024 11:58:41
207 Tweet
351 Followers
362 Following
a month ago
Kitambo hii app mtu mgeni angedhani mi ni chizi nilikuwa najiongelesha tu
Friday masaa kama hii many will be in Spain but S will be silent 😂😂
"Kwani greener pastures zilifyekwa?"
Otile Brown ngoma zake hubamba simps and pussified men. Bien ako ligi yake buana
Hii August broke niggas tunangoja Season ianze Girlfriends day hatuwezi relate.
2nd year njaa iliwahi nitwanga nikakula sabuni
What goes around comes around inashanga niko wapi hainipati😂
Kuna siku mzee alinyamba nikashidwa kukaza kicheko
Nacada hata waseme nini Mimi bado nitakuwa side ya weed
ukijipata ukisave na unajinyima starehe ama vitu basic jua umeanza kua mtu mshenzi
Kusema ukweli nachukia talking stage, because i honestly don’t care how you slept
Kesho sisi wale the rich at heart,kazi itakuwa ni words of affirmation
Adding "😂" after a sentence to control the damage.
24 days ago
Goals niliset mwaka ikianza itabidi niachie haland
Sahii nishawaka kuliko jua ni kurepost na kulike tweet yeyote ya loyal
ukijaribu kunicopy na rub
21 days ago
Unambuiya jezi kali anakucheza nayo😂🤚
x.com/i/spaces/1BdxY…
Bois unaiba tweet ishanasa aibu ilienda wapi
Hopes zako zinafaa kukua high lakini apo kwa expectations acha zikue tu low