Rebecca Munee
@rebeccamunee
Life rooted in God stands firm
ID: 1261606467444125697
16-05-2020 10:37:05
240 Tweet
37 Followers
53 Following
Wasikia tena wajibu maombi. Hujambo na karibu kwa #MixedFlavors. Swali la biblia: Akasema, Yasiyowezekana kwa wanadamu yawezekana kwa Mungu. Mstari huu wa biblia wapatikana kwenye kitabu gani? SMS Line: 0110089270 Twitter : Biblia Husema 96.7fm @NdengaDynah
Ahadi zake huyu Yesu zitatimia milele Karibu kwenye #MixedFlavors. Swali la bibllia: Enyi watu wote, pigeni makofi, Mpigieni Mungu kelele kwa Sauti ya____kamilisha mstari huu wa biblia. sms line : 0110089270 Twitter: Biblia Husema 96.7fm @NdengaDynah
Usifiwe msalaba, lisifiwe kaburi linalo zidi yote, asifiwe Mokozi. Hujambo swahiba? Upo tayari kuabiri meli ya #MixedFlavors? Swali la biblia: Katika Mahubiri ya Yesu, anaitaja dunia kuwa nini? SMS LINE :0110089270 Twitter: Biblia Husema 96.7fm @NdengaDynah
Waweza - Evelyn Wanjiru #Np : kwenye awamu ya kwanza ya #MixedFlavors na @NdengaDynah #MiracleMonday
Habari ya mashujaa day mpendwa? Karibu tuabiri meli kubwa ya #MixedFlavors. Swali la biblia: Ni kanisa gani katika kitabu cha Ufunuo ambalo Yesu haoni kosa? SMS Line: 0110089270 Twitter : Biblia Husema 96.7fm : @NdengaDynah
Ushindi upo ni lazima tushinde maana Bwana yupo kazini. Hujambo mpendwa na karibu tuabiri meli ya #MixedFlavors. Swali la biblia: Yesu alisema ni nani "hakuwa mbali na Ufalme wa Mungu"? SMS Line: 0110089270 Twitter : Biblia Husema 96.7fm @NdengaDynah
Ni neema ya ajabu kupakwa na Damu ya Bwana Yesu, kumjua Yesu wa msalaba. Hujambo mpendwa? Karibu kwenye #MixedFlavors pamoja. Swali la biblia: Hannah alikuwa na tatizo lipi lililopelekea Peninah kumkejeli? SMS Line: 0110089270 Twitter: Biblia Husema 96.7fm @itsndenga