Sunday (@rauftz) 's Twitter Profile
Sunday

@rauftz

ONLINE BASED 🛍🛒.
Life its too short to wear boring stuffs Visit us.

ID: 1661363528035450886

calendar_today24-05-2023 13:28:45

3,3K Tweet

10,10K Followers

8,8K Following

ŤŔªp qųəęŋ 💃 (@miss__yanga) 's Twitter Profile Photo

Kitu kingine ambacho maisha yametufundisha ni kwamba, kuna muda unapaswa ufike sehemu uiambie nafsi yako..haya yako nje ya uwezo wangu namkabidhi Maulana...

Mkushi (@mkushiiii) 's Twitter Profile Photo

Maisha ni mazuri ukijipenda na ukizingatia Ibada 1. Vaa Vizuri 2. Nukia Vizuri 3. Be humble 4.Go to church .....Happy Sunday✝️😇

Sunday (@rauftz) 's Twitter Profile Photo

Ukila cha mtu automatically umeruhusu akutawale. Utajiona unadeni kwake. Tujitahidi kujitafutia tusiwe watumwa sana kwa watu.

Sunday (@rauftz) 's Twitter Profile Photo

Siku moja waliniachia remote ya kuweka luku nikasafiri bahati mbaya nikakisahau kile kiremote ndani 🤣🤣🤣😁😁Mama brela ukiona hii nisamehe🤣🤣wiki mbili bila umeme.

Sunday (@rauftz) 's Twitter Profile Photo

Mtegemee Mungu kila wakati hata ukipotea na hujui unaelekea wapi atakuonesha njia ambayo itakufikisha kwenye MAFANIKIO yako. Jumapili njema kwako.

Sunday (@rauftz) 's Twitter Profile Photo

Usisahau ukiwa na pesa automatically wewe ni kiongozi. Hata kama hakuna elimu sauti yako ndio inanguvu zaidi. Ukienda kwenye shuhuli kiti chako kipo mbele kabisa. Wakiongelea mada inahitaji maendeleo hata kama huna mawazo ya kuchangia lazima upewe mic 🎙️ Usichoke kutafuta

Sunday (@rauftz) 's Twitter Profile Photo

Wife: Kesho nataka kuenda clinic. Mimi: Subiria kidogo, nikutafutie hela. Nimetoa mkeka wangu huu hapa, unaruhusiwa kuchukua timu moja au mbili. Hii ni Pmbet, naweza kushinda hela ya clinic na ya shopping ya samaki !⚽

Wife: Kesho nataka kuenda clinic.

 Mimi: Subiria kidogo, nikutafutie hela.

 Nimetoa mkeka wangu huu hapa, unaruhusiwa kuchukua timu moja au mbili. Hii ni Pmbet, naweza kushinda hela ya clinic na  ya shopping ya samaki !⚽