Rashid Abdalla
@rashidabdalla
TV Presenter |Translator| Motivational Speaker| Station Voice| Journalist| #SisemiKitu Subscribe to my YouTube Channel- youtu.be/J_lVBb3LmVk
ID: 317100699
14-06-2011 12:51:31
19,19K Tweet
58,58K Takipรงi
1,1K Takip Edilen
The Standard Digital 17,000 can be filled by Kwale Alone during the Rashid Abdalla supercup. This doesnโt make sense
Wishing Citizen TV journalist Rashid Abdalla a happy birthday and a prosperous year ahead #KenyansBirthday
Kenyans.co.ke Rashid Abdalla Birthday blessings
Kenyans.co.ke Dan_Omar 254๐ฐ๐ช ๐ฐ๐ช Rashid Abdalla Happy birthday to him
Kenyans.co.ke Rashid Abdalla Happy birthday Rashid
Kenyans.co.ke Rashid Abdalla Happy birthday to him
Mark Mwenje โ Mbunge, Embakasi Magharibi: Nairobi lazima iwe na mpango mkuu. Tunahitaji kuleta wataalam tupange jiji tena. Kwa sasa, takataka Nairobi inaondolewa na NYS. #SemaNaCitizen Rashid Abdalla
Tim Wanyonyi: Nimemwita lakini jamaa haitiki, hata upige simu hashikiโฆTumejaribu na tumeshindwa #SemaNaCitizen Rashid Abdalla
Rai kwa Rais: Wakaazi wa Ndabibi wataka hatimiliki za ardhi. Wakaazi hao wamekabiliwa na utata kwa miaka 30 . Matarajio ya ziara ya Rais Narok. Wakaazi wa Narok wamtaka Rais kuzindua miradi. Vijana wameraiwa kutozua fujo wakati wa ziara #SemaNaCitizen Rashid Abdalla
Tabitha Mutinda: Rais Ruto amefungua mlango kwa viongozi wote na huhusisha watu katika mazungumzo ya maendeleo ata wale waliochaguliwa na vyama vingine lakini wakati wengine wao hukataa mwito #SemaNaCitizen Rashid Abdalla
Enoch Wambua: Sio kazi ya mbunge kuenda kupiga magoti mbele ya Rais kuomba maendeleo. Ukambani ni Kenya na watu hawa wanalipa kodi kwa serikali, hivyo wana haki ya kupata maendeleo #SemaNaCitizen Rashid Abdalla
Dan Maanzo: Serikali inatumia pesa ya wananchi vibaya; uongozi hauzingatii mambo muhimu. Pesa inapotea kwa ufisadi na mabwenyenye wachache #SemaNaCitizen Rashid Abdalla
Vincent Kawaya: Kiongozi ahitaji kualikwa kule Ikulu kuteteta haki ya wananchi. Ni lazima ujitume mwenyewe. Ukienda kuwawakilisha watu wako na kungโangโania rasilimali si kupiga magoti #SemaNaCitizen Rashid Abdalla
Enoch Wambua: Sisi kama viongozi wa Mt Kenya South tukae pamoja na tukubaliane jinsi tutakavyo ongoza jamii yetu ndani ya serikali. Tukigawanywa, ina dhoofisha msingi wetu #SemaNaCitizen Rashid Abdalla
Enoch Wambua: Uchaguzi unaokuja, jina la Kalonzo litakuwa kwa โballotโ kama mgombea wa urais. Kama kuna kiongozi ambaye atapeleka Ruto nyumbani asubuhi 2027, ni Kalonzo Musyoka #SemaNaCitizen Rashid Abdalla
SATO!!! We bash and enjoy the beautiful game of football. Entertainment starts at 10am, kickoff 3pm. Tukutane Mombasa Sports Club for the launch of the 6th edition RASHID ABDALLAH SUPER CUP ๐ฅ๐ฅ๐ฅ Lulu Hassan Rashid Abdalla