Rashda Zunde (@rashdazunde) 's Twitter Profile
Rashda Zunde

@rashdazunde

|Proudly Tanzanian| | God Fearing😊| God's last born| Yanga 💚💛| Mama Asif😊

ID: 1442435658618851331

calendar_today27-09-2021 10:27:42

56,56K Tweet

7,7K Followers

992 Following

Natalia John (@nataliajohn19) 's Twitter Profile Photo

📍Mradi wa Maji Bangulo #TikiKwaSamia Utahudumia wakazi takribani 450,000 katika majimbo matano ya uchaguzi, na utapunguza changamoto ya upatikanaji wa maji katika eneo la Dar es Salaam Kusini. #MamaYukoKazini #TanzaniaYaSamia #KaziNaUtuTunasongambele

📍Mradi wa Maji Bangulo  

#TikiKwaSamia 

Utahudumia wakazi takribani 450,000 katika majimbo matano ya uchaguzi, na utapunguza changamoto ya upatikanaji wa maji katika eneo la Dar es Salaam Kusini.  

#MamaYukoKazini 
#TanzaniaYaSamia
#KaziNaUtuTunasongambele
The Swahili Post (@theswahilipost) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA NA MSUMBIJI NI NDUGU "Kama nyote mnavyotambua, Tanzania na Msumbiji ni majirani waliotenganishwa na mto Ruvuma. Sisi ni ndugu wa damu, udugu wetu uliimarishwa zaidi na waasisi wetu."-Rais Samia #MamaYukoKazini #TanzaniaYaSamia #TikiKwaSamia #kazinaututunasongambele

TANZANIA NA MSUMBIJI NI NDUGU

"Kama nyote mnavyotambua, Tanzania na Msumbiji ni majirani waliotenganishwa na mto Ruvuma. Sisi ni ndugu wa damu, udugu wetu uliimarishwa zaidi na waasisi wetu."-Rais Samia 

#MamaYukoKazini
#TanzaniaYaSamia
#TikiKwaSamia 
#kazinaututunasongambele
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Matukio mbalimbali wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji, ambapo Rais Samia Suluhu alikuwa mgeni rasmi. Sherehe hizo zimefanyika katika Uwanja wa Machava, jijini Maputo leo.

Matukio mbalimbali wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji, ambapo Rais Samia Suluhu alikuwa mgeni rasmi.

Sherehe hizo zimefanyika katika Uwanja wa Machava, jijini Maputo leo.
The Swahili Post (@theswahilipost) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA INASHEREHEKEA UHURU WA MSUMBIJI "Leo tunaposhuhudia ndugu zetu wa Msumbiji wakisherehekea miaka 50 ya uhuru wao, nasi ndugu zenu Watanzania tunasherehekea pia."-Rais SamiaSuluhu #MamaYukoKazini #TanzaniaYaSamia #TikiKwaSamia #kazinaututunasongambele

TANZANIA INASHEREHEKEA UHURU WA MSUMBIJI

"Leo tunaposhuhudia ndugu zetu wa Msumbiji wakisherehekea miaka 50 ya uhuru wao, nasi ndugu zenu Watanzania tunasherehekea pia."-Rais SamiaSuluhu

#MamaYukoKazini
#TanzaniaYaSamia
#TikiKwaSamia 
#kazinaututunasongambele
#AtoshaSamia (@atoshasamia) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia Rais Samia Suluhu Hassan akiweka taji la maua kwenye mnara wa kumbukumbu wa Mashujaa Mjini Maputo ikiwa sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji, tarehe 25 Juni 2025. #MamaYukokazini #MamaAnafanikisha #KaziNaUtuTunasongaMbele

#TikiKwaSamia

Rais Samia Suluhu Hassan akiweka taji la maua kwenye mnara wa kumbukumbu wa Mashujaa Mjini Maputo ikiwa sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji, tarehe 25 Juni 2025.

#MamaYukokazini 
#MamaAnafanikisha
#KaziNaUtuTunasongaMbele
#AtoshaSamia (@atoshasamia) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia Rais Samia Suluhu Hassan akiweka taji la maua kwenye mnara wa kumbukumbu wa Mashujaa Mjini Maputo ikiwa sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji, tarehe 25 Juni 2025 #MamaYukokazini #MamaAnafanikisha

#AtoshaSamia (@atoshasamia) 's Twitter Profile Photo

Matukio mbalimbali wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo, ikiwa ni mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo. #MamaYukokazini #MamaAnafanikisha

Matukio mbalimbali wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri hiyo, ikiwa ni mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo.

#MamaYukokazini 
#MamaAnafanikisha
Nukuu za Mama (@nukuuzamama) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025. #NukuuZaMama #MamaYukoKazini #TanzaniaYaSamia #TikiKwaSamia

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025.

#NukuuZaMama 
#MamaYukoKazini
#TanzaniaYaSamia
#TikiKwaSamia
Nukuu za Mama (@nukuuzamama) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025. #NukuuZaMama #MamaYukoKazini #TanzaniaYaSamia #TikiKwaSamia

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo, tarehe 25 Juni 2025.

#NukuuZaMama 
#MamaYukoKazini
#TanzaniaYaSamia
#TikiKwaSamia
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Kutoka kuweka kambi ya wapigania Uhuru wa FRELIMO Bagamoyo mkoani Pwani, kisha kuhamia Kongwa mkoani Dodoma na baadaye Nachingwea mkoani Lindi, safari ya Uhuru wa Msumbiji imesheheni historia ya udugu katika hali zote kati yake na Tanzania. Sisi ni ndugu, hivyo uhuru wao ni uhuru

Kutoka kuweka kambi ya wapigania Uhuru wa FRELIMO Bagamoyo mkoani Pwani, kisha kuhamia Kongwa mkoani Dodoma na baadaye Nachingwea mkoani Lindi, safari ya Uhuru wa Msumbiji imesheheni historia ya udugu katika hali zote kati yake na Tanzania. Sisi ni ndugu, hivyo uhuru wao ni uhuru
Lastborn (@lastbornwamama) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia "Ni imani yetu kuwa Afrika ni moja na waafrika ni ndugu zetu. Sio siri kuwa Watanzania na Wamsumbiji wana uhusiano wa kihistoria na wa damu. Tanzania kuna Wamakonde, Wayao na Wamakua, kama ambavyo walivyo nchini Msumbiji."- Rais Samia Suluhu #mamayukokazini

#TikiKwaSamia 

"Ni imani yetu kuwa Afrika ni moja na waafrika ni ndugu zetu. Sio siri kuwa Watanzania na Wamsumbiji wana uhusiano wa kihistoria na wa damu. Tanzania kuna Wamakonde, Wayao na Wamakua, kama ambavyo walivyo nchini Msumbiji."- Rais Samia Suluhu 

#mamayukokazini
Matayo Zebedayo (@matayozebedayo) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Rais Samia Suluhu inatarajia kutoa ajira za muda mfupi 7,500 ili kutekeleza mpango wa chanjo na utambuzi wa mifugo nchini. #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia #TanzaniaYaSamia #KaziNaUtuTunasongaMbele

Serikali ya Rais Samia Suluhu inatarajia kutoa ajira za muda mfupi 7,500 ili kutekeleza mpango wa chanjo na utambuzi wa mifugo nchini. 

#MamaYukoKazini 
#TikiKwaSamia 
#TanzaniaYaSamia 
#KaziNaUtuTunasongaMbele
mkushi (@mkushi_jiga) 's Twitter Profile Photo

Chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu, mashine za kusafisha damu 113 zilinunuliwa na kufungwa katika hospitali za rufaa 14. Ni utekelezaji wa dhamira ya kufanya huduma za afya zipatikane karibu na nafuu. #TanzaniaYaSamia #MamaYukoKazini #TikiKwaSamia

Chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu, mashine za kusafisha damu 113 zilinunuliwa na kufungwa katika hospitali za rufaa 14.

Ni utekelezaji wa dhamira ya kufanya huduma za afya zipatikane karibu na nafuu.

#TanzaniaYaSamia 
#MamaYukoKazini
#TikiKwaSamia
SamiaDieHardFan 🇹🇿 (@samiadiehardfan) 's Twitter Profile Photo

𝗪𝗮𝗻𝗮𝗻𝗰𝗵𝗶 𝟰𝟱𝟬,𝟬𝟬𝟬 𝘄𝗮𝘁𝗮𝗻𝘂𝗳𝗮𝗶𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 𝗺𝗮𝗷𝗶 𝘀𝗮𝗳𝗶 𝗻𝗮 𝘀𝗮𝗹𝗮𝗺𝗮. #TanzaniaYaSamia #TikiKwaSamia #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongambele

𝗪𝗮𝗻𝗮𝗻𝗰𝗵𝗶 𝟰𝟱𝟬,𝟬𝟬𝟬 𝘄𝗮𝘁𝗮𝗻𝘂𝗳𝗮𝗶𝗸𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 𝗺𝗮𝗷𝗶 𝘀𝗮𝗳𝗶 𝗻𝗮 𝘀𝗮𝗹𝗮𝗺𝗮.

#TanzaniaYaSamia
#TikiKwaSamia 
#MamaYukoKazini 
#KaziNaUtuTunasongambele
SamiaDieHardFan 🇹🇿 (@samiadiehardfan) 's Twitter Profile Photo

📍Hospitali ya Wilaya ya Musoma Shilingi Bilioni 1.3 zimetumika katika ujenzi na ukarbati wa majengo katika hospitali hiyo. Uwekezaji unaofanywa kwenye sekta ya afya unalenga kurahisisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi. #MamaYukoKazini #TanzaniaYaSamia #TikiKwaSamia

📍Hospitali ya Wilaya ya Musoma

Shilingi Bilioni 1.3 zimetumika katika ujenzi na ukarbati wa majengo katika hospitali hiyo.

Uwekezaji unaofanywa kwenye sekta ya afya unalenga kurahisisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi.

#MamaYukoKazini
#TanzaniaYaSamia
#TikiKwaSamia
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa 31 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, ikiwa ni ubingwa wa nne mfululizo. Kwa zaidi ya miaka 85, upinzani wa Yanga na Simba umeendelea kuwa burudani kwa mamilioni ya mashabiki ndani na nje ya nchi. Endeleeni kutupa burudani.

Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa wa 31 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, ikiwa ni ubingwa wa nne mfululizo. Kwa zaidi ya miaka 85, upinzani wa Yanga na Simba umeendelea kuwa burudani kwa mamilioni ya mashabiki ndani na nje ya nchi. Endeleeni kutupa burudani.
#AtoshaSamia (@atoshasamia) 's Twitter Profile Photo

TANZANIA NA MSUMBIJI "Hatuna budi kuendelea kuchukua hatua kuwawezesha wanawake na vijana kunufaika zaidi na fursa zitokanazo na utangamano wa kikanda na soko la Afrika kwa ujumla."- Rais Samia Suluhu #MamaYukokazini #MamaAnafanikisha #KaziNaUtuTunasongaMbele

TANZANIA NA MSUMBIJI 

"Hatuna budi kuendelea kuchukua hatua kuwawezesha wanawake na vijana kunufaika zaidi na fursa zitokanazo na utangamano wa kikanda na soko la Afrika kwa ujumla."- Rais Samia Suluhu 

#MamaYukokazini 
#MamaAnafanikisha
#KaziNaUtuTunasongaMbele