profile-img
MazoeaWaNgoswe

@RahmaChuwa

Nature Lover| Memes Addict| Alumni @UDSM| PR & Journalist| Dont take it personal| Believe me At Your Own Risk|

calendar_today21-01-2020 10:17:29

32,0K Tweets

12,2K Followers

4,5K Following

MazoeaWaNgoswe(@RahmaChuwa) 's Twitter Profile Photo

Ulipaji wa fidia kwa waathirika wa bonde la Msimbazi 2,102 kati ya 2,592 umekamilika na uandaaji wa nyaraka kwa ajili ya kuhamisha na kujenga karakana ya mabasi ya mwendokasi kutoka eneo la Jangwani kwenda Ubungo Maziwa umekamilika.


Ulipaji wa fidia kwa waathirika wa bonde la Msimbazi 2,102 kati ya 2,592 umekamilika na uandaaji wa nyaraka kwa ajili ya kuhamisha na kujenga karakana ya mabasi ya mwendokasi kutoka eneo la Jangwani kwenda Ubungo Maziwa umekamilika. #Mamayukokazini #MamaAnafanikisha
account_circle