Radio One Stereo (@radioonestereo) 's Twitter Profile
Radio One Stereo

@radioonestereo

ITV-Independent Television Ltd Mikocheni Light Industrial Area P.O.Box 4374,Dar es salaam Tanzania. Tel: +255 22 27775914/6 E-mail:[email protected]

ID: 536294371

linkhttp://www.radio1.co.tz calendar_today25-03-2012 13:15:13

44,44K Tweet

407,407K Followers

2 Following

Radio One Stereo (@radioonestereo) 's Twitter Profile Photo

"Hakuna bandari iliyouzwa, hakuna bandari itakayouzwa, hakuna mpango wa kuuza bandari, hakuna hata sehemu moja iliyoandikwa kwamba bandari itapangishwa kwa miaka 100"-Gerson Msigwa -Msemaji Mkuu wa Serikali. -instagram.com/p/Ctvl58CKLJh/

Radio One Stereo (@radioonestereo) 's Twitter Profile Photo

#KUMEPAMBAZUKA:Ungana na Abdallah Kurwa, katika #nipasheyaradioone kwa taarifa mbalimbali. Kwa Ushirikiano na mtandao wa @vodacomTanzania #RadioOne #Kumepambazuka #NipasheRadioOne

#KUMEPAMBAZUKA:Ungana na Abdallah Kurwa, katika #nipasheyaradioone kwa taarifa mbalimbali.

Kwa Ushirikiano na mtandao wa @vodacomTanzania

#RadioOne #Kumepambazuka #NipasheRadioOne

"Endapo umeondoa ada, inamaana unanjia nyingine ya kuweza kuvipa hivyo vyuo fedha"-Dkt.George Kahangwa - Mhadhiri Mwandamizi katika Elimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. -instagram.com/p/Ct0oAmmK0nJ/

Radio One Stereo (@radioonestereo) 's Twitter Profile Photo

"Ile ngazi ya kidato cha 5 na 6, lengo lake kubwa ni kuandaa vijana kwa ajili ya elimu ya juu"-Dkt.George Kahangwa - Mhadhiri Mwandamizi katika Elimu chuom kikuu cha Dar es Salaam. -instagram.com/p/Ct0vdZqqdEP/

Radio One Stereo (@radioonestereo) 's Twitter Profile Photo

#KUMEPAMBAZUKA:Ungana na Abdallah Kurwa, katika #nipasheyaradioone kwa taarifa mbalimbali. Kwa Ushirikiano na mtandao wa @vodacomTanzania #RadioOne #Kumepambazuka #NipasheRadioOne

#KUMEPAMBAZUKA:Ungana na Abdallah Kurwa, katika #nipasheyaradioone kwa taarifa mbalimbali.

Kwa Ushirikiano na mtandao wa @vodacomTanzania

#RadioOne #Kumepambazuka #NipasheRadioOne
Radio One Stereo (@radioonestereo) 's Twitter Profile Photo

#KUMEPAMBAZUKAKISWAHILI:Inawezekana unakutana na maneno mengi lakini huyi maana yake sasa BAKITA, wanatueleza maana ya baadhi ya maneno yanayo tutatiza, kama neno 'SABEHE' wanaelezea maana yake hapa. -instagram.com/p/Ct3UdJoqFHk/

Radio One Stereo (@radioonestereo) 's Twitter Profile Photo

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema, inajitahidi kuboresha mazingira wezeshi kwa watu wenyeulemavu kwenye sekta zote za jamii, zikiwemo Usafiri wa Umma, Elimu na Afya kwa kuzingatia na kurahisisha mahitaji yao.

Hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeendelea kuzorota katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita, licha ya kutulia mapigano kati ya kundi la waaasi la M23 na vikosi vya serikali katika jimbo la Kivu Kaskazini.

Wataalam wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, waliotembelea gereza la Marekani la Guantanamo Bay, wamewasilisha ripoti inayoelezea vitendo ya kinyama dhidi ya wafungwa. Mazingira ya wafungwa 30 wa mwisho katika gereza hilo ni ya ukatili, kinyama na udhalilishaji.

Wataalam wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, waliotembelea gereza la Marekani la Guantanamo Bay, wamewasilisha ripoti inayoelezea vitendo ya kinyama dhidi ya wafungwa.

Mazingira ya wafungwa 30 wa mwisho katika gereza hilo ni ya ukatili, kinyama na udhalilishaji.
Radio One Stereo (@radioonestereo) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Bw.John Mongella, amesema ajira za wakusanyaji mapato ya Halmashauri za Wilaya za mkoa huo, kuanzia sasa zitasimiwa na ofisi yake, baada ya kubainika ubadhirifu unaoikosesha serikali mapato.

#Picha: Waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Shinyanga wameungana na Waislam wengine Duniani kusherehekea sikukuu ya Idd huku Shehe wa mkoa huo Sheikh Ismail Makusanya akiwataka Waumini wa dini hiyi kusherehekea kwa amani na kuwasaidia watu wenye...... instagram.com/p/CuEnLDpq6Ik/

Radio One Stereo (@radioonestereo) 's Twitter Profile Photo

#PICHA:Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Mheshimiwa Balozi Idd Seif Bakari , baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Jijini Dodoma.

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Mbunge wa Mbarali, Mheshimiwa Francis Mtega kilichotokea leo asubuhi huko Chimala, Mbarali. Mheshimiwa Mtega atakumbukwa kwa jitihada zake katika kuwatumikia wananchi wa Mbarali na miaka yake ya utumishi katika sekta ya afya. Natuma salamu za

Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Mbunge wa Mbarali, Mheshimiwa Francis Mtega kilichotokea leo asubuhi huko Chimala, Mbarali. Mheshimiwa Mtega atakumbukwa kwa jitihada zake katika kuwatumikia wananchi wa Mbarali na miaka yake ya utumishi katika sekta ya afya. Natuma salamu za
Radio One Stereo (@radioonestereo) 's Twitter Profile Photo

#Habari: Hofu imetanda kwa baadhi ya wakazi wa kata za mjini Musoma mkoani Mara kufuatia kuibuka kwa vitendo vya wizi vinavyodaiwa kufanywa na vibaka ambao wanavunja milango nyakati za usiku na kuiba vitu mbalimbali ikiwamo kuku vyakula TV pamoja.... instagram.com/p/CuMH5cZqHmv/

Radio One Stereo (@radioonestereo) 's Twitter Profile Photo

#Habari: Baada ya elimu ya ugonjwa wa kifua kikuu kutolewa katika kata matemanga wilayani Tunduru mkoani Ruvuma idadi ya wagonjwa wanaokwenda kutibiwa ugonjwa huo katika hospitali ya kiuma wilayani humo imeongezeka. instagram.com/p/CuMaPilKD0E/

Radio One Stereo (@radioonestereo) 's Twitter Profile Photo

#NIPASHE: Ungana na Abdallah Kurwa katika #nipashe kwa taarifa mbalimbali zilizotufikia asubuhi hii. Kwa Ushirikiano @vodacomTanzania #RadioOne #Kumepambazuka #Nipashe