Radio Kaya(@RadioKaya) 's Twitter Profileg
Radio Kaya

@RadioKaya

93.1FmMsa ||94.9FmVoi ||94.9FmKlf || 99.7FmMlnd || 88.5 FmLamu - Coast of Kenya (Mombasa)

ID:84091571

linkhttp://www.radiokaya.co.ke calendar_today21-10-2009 14:30:44

13,2K Tweets

3,5K Followers

850 Following

Radio Kaya(@RadioKaya) 's Twitter Profile Photo

Mei ni Mwezi wa Uhamasishaji wa Afya ya Akili yaani
Afya ya akili ni muhimu katika kila hatua ya maisha, kutoka utoto na ujana hadi utu uzima.


awareness
support
matters

Mei ni Mwezi wa Uhamasishaji wa Afya ya Akili yaani #MentalHealthAwarenessMonth Afya ya akili ni muhimu katika kila hatua ya maisha, kutoka utoto na ujana hadi utu uzima. #mentalhealth #mentalhealthawareness #mentalhealthsupport #mentalhealthmatters
account_circle
Radio Kaya(@RadioKaya) 's Twitter Profile Photo

Msimu huu wa back to school, kama ilivyo kawaida, Naivas wanakupatia crazy discounts, bei bora kila siku na bidhaa zote za back to school kupitia promotion ya

Shika njia ya big shopping, the Naivas Kilocol way, ujipatie bidhaa zote za back to school…

Msimu huu wa back to school, kama ilivyo kawaida, Naivas wanakupatia crazy discounts, bei bora kila siku na bidhaa zote za back to school kupitia promotion ya #NaivasKikapuKibongeSafari Shika njia ya big shopping, the Naivas Kilocol way, ujipatie bidhaa zote za back to school…
account_circle
Radio Kaya(@RadioKaya) 's Twitter Profile Photo

Meja Jenerali Fatuma Ahmed ameweka historia nchini kwa kuteuliwa kuwa mwanamke wa kwanza kuongoza kitengo cha jeshi la anga katika majeshi ya ulinzi nchini, KDF

Meja Jenerali Fatuma Ahmed ameweka historia nchini kwa kuteuliwa kuwa mwanamke wa kwanza kuongoza kitengo cha jeshi la anga katika majeshi ya ulinzi nchini, KDF #MulikoLaKaya
account_circle