Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile
Radio Jambo

@radiojambokenya

Ongea usikike! 🇰🇪 97.5 NRB | 92.3 MSA | 100.1 KSM | 96.9 NKR | 99.5 ELD | 99.3 NYERI | 92.7 MERU | 95.3 WEBUYE | 89.3 KISII | 104.9 KITUI | 105.7 VOI | 📻

ID: 2515401066

linkhttps://radiojambo.co.ke calendar_today22-05-2014 13:13:01

444,444K Tweet

251,251K Followers

313 Following

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

KPLC imeonya kuhusu kukatizwa kwa umeme katika maeneo kadhaa nchini siku ya Alhamisi, Septemba 5. #KituoChaWakenya radiojambo.co.ke/habari/taarifa…

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

adio Jambo itashiriki mazungumzo kuhusu mfumo mpya wa ufadhili wa vyuo vikuu leo MKU Nakuru. Wajumbe: Bramwel Mwololo(Msimamizi), Bw. Kingori Ndegwa(HELB), Tony Ogembo (MKUSA), Dkt. Jacqueline Omuya(Mkurugenzi), na Omwansa M. Omwansa(Shule ya Sheria ya MKU). #RadioJamboTownHall

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Winnie Bwire Ndubi, ambaye aliigiza kama Dida katika filamu maarufu ya TV ya Sultana amega dunia, familia yake imethibitisha. #RadioJambo #KituoChaWakenya #Dida #WinnieBwire

Winnie Bwire Ndubi, ambaye aliigiza kama Dida katika filamu maarufu ya TV ya Sultana amega dunia, familia yake imethibitisha.

#RadioJambo #KituoChaWakenya #Dida #WinnieBwire
Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Daktari Carol Mwangi kutoka Bloom of Health Clinic atakuwa nasi kipindini kwa mahojiano saa saba akiongelelea Endometriosis.Ni swali gani ungependa kumuuliza? Wasiliani nasi kupitia sms, 22494 @massawejapanni #JamboMassawe #KituoChaWakenya #RadioJambo

Daktari Carol Mwangi kutoka Bloom of Health Clinic atakuwa nasi kipindini kwa mahojiano saa saba akiongelelea Endometriosis.Ni swali gani ungependa kumuuliza?

Wasiliani nasi kupitia sms, 22494

@massawejapanni 

#JamboMassawe #KituoChaWakenya #RadioJambo
Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Orodha ya walioteuliwa kuwania tuzo ya mchezaji binafsi ya kifahari zaidi duniani, Ballon d’Or, imefichuliwa kabla ya hafla ya tuzo kufanyika mjini Paris, Ufaransa mnamo Oktoba 28, 2024. #KituoChaWakenya radiojambo.co.ke/michezo/footba…

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Tume ya Kitaifa ya Huduma za Polisi (NPSC) imefutilia mbali upandishaji vyeo wote ulioidhinishwa hivi majuzi na kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli. #KituoChaWakenya radiojambo.co.ke/habari/yanayoj…

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Nahodha wa Manchester United Bruno Fernandes amekiri klabu hiyo haiko tayari kusukuma Arsenal na Manchester City kwa ajili ya ubingwa wa Ligi Kuu ya 24/25. #KituoChaWakenya radiojambo.co.ke/michezo/footba…

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Cristiano Ronaldo hapo awali alidai kuwa Ballon d'Or inapoteza sifa yake baada ya kushindwa kuingia kwenye orodha ya wanaowania tuzo hiyo. #KituoChaWakenya radiojambo.co.ke/michezo/footba…

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Mwenyekiti wa Crystal Palace Steve Parish "alistaajabishwa" kwamba hakuna hata klabu moja kutoka kwa vilabu vikuu 6 kwenye ligi ya EPL vilivyoribu kumsajili Eberechi Eze majira ya joto. #KituoChaWakenya radiojambo.co.ke/michezo/footba…

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Ballon d'Or ndiyo tuzo yenye heshima kubwa zaidi katika ulimwengu wa soka. Kutwaa tuzo hiyo ni ndoto ya wanasoka wengi wa kulipwa kote ulimwenguni. #KituoChaWakenya radiojambo.co.ke/michezo/footba…

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Haya yanajiri kufuatia mkasa wa moto uliozuka katika mojawapo ya mabweni ya shule hiyo Alhamisi usiku. #KituoChaWakenya radiojambo.co.ke/habari/breakin…

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

KPLC imeonya kuhusu kukatizwa kwa umeme katika maeneo kadhaa nchini siku ya Ijumaa, Septemba 6. #KituoChaWakenya radiojambo.co.ke/habari/taarifa…

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

"Kama ulipata mtu mwingine ni sawa, tafuta vile tutalea mtoto pamoja. Na kama mtoto hakuwa wangu kuja uniambie nitaelewa," Kennedy alimwambia mpenziwe. #KituoChaWakenya #GidiNaGhostAsubuhi #Patanisho radiojambo.co.ke/vipindi/patani…

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Babake marehemu Rebecca Cheptegei ameelezea masikitiko makubwa kwa kumpoteza binti yake huku akitaka haki itendeke. #KituoChaWakenya radiojambo.co.ke/habari/taarifa…

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi huyo wa chama cha National Unity Forum (NUP) alilaani mazingira ya kifo cha mkimbiaji huyo wa mbio za masafa marefu. #KituoChaWakenya radiojambo.co.ke/habari/taarifa…

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Mlolongooooo! Ni githaa yenu sasa. Jumapili hii tutakuwa hapo na tunakuja na Safaricom. Tuna mengi mazuri ila la muhimu kabisa, tunakuja na simu smart, simu za smartphone kwa bei yako. Tukutane Jumapili kuanzia saa nne asubuhi 🤝 #KituoChaWakenya #RadioJambo #ReggaeNaspoti

Mlolongooooo! Ni githaa yenu sasa. Jumapili hii tutakuwa hapo na tunakuja na Safaricom. Tuna mengi mazuri ila la muhimu kabisa, tunakuja na simu smart, simu za smartphone kwa bei yako. Tukutane Jumapili kuanzia saa nne asubuhi 🤝

#KituoChaWakenya #RadioJambo #ReggaeNaspoti
Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

"Tunaomba radhi kwa usumbufu na tunaomba uvumilivu wako kwani wahandisi wetu wanafanya kazi haraka kurejesha huduma," KPLC ilisema. #KituoChaWakenya radiojambo.co.ke/habari/taarifa…

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Hillside Endarasha Academy ni shule ya msingi ya wasichana kwa wavulana iliyoko Kieni Magharibi, katika Kaunti ya Nyeri. #KituoChaWakenya radiojambo.co.ke/habari/makala/…

Radio Jambo (@radiojambokenya) 's Twitter Profile Photo

Mbunge huyo alibainisha kuwa kufanana na mtu si kazi na akamtaka Mutisya atafute kitu cha maana cha kufanya. #KituoChaWakenya radiojambo.co.ke/burudani/dakia…