IBSE Radio
@radioibse
IBSE Radio is a registered FM Station broadcasting in 4 languages #IBSE_GUMMI
ID: 1044431627701702656
25-09-2018 03:41:19
61 Tweet
330 Followers
140 Following
Vijana 41 kutoka Sagante wamepata mafunzo kwenye mradi wa Ujuzi Manyattani kutoka kwa shirika la NRT kupitia hifadhi ya Jaldesa youtu.be/p3XQE2ZRDGI @nrt_kenya
Kaunti ya Marsabit imepokea mtambo wa digitali ya kutoa huduma zote za ardhi kwa urahisi youtu.be/qmAXhAXjZoY LANDS MINISTRY KENYA FAO in Kenya Farida Karoney, EGH @AnnNgetich European Union In Kenya
Mtu mmoja ajeruhiwa kwa kupigwa risasi eneo bunge la Saku katika jaribio la wizi wa mifugo youtu.be/p2AnFMug7Bw NCIC Kenya Inspector General of Police- Kenya. Dr. Fred Matiangi, EGH, PhD, HSC
Wakazi Marsabit watakiwa kufaidika na huduma ya afisi ya Ombudsman Kenya youtu.be/8u5R-Bmo_Y8 Hon Florence Kajuju
Seneta wa Nandi Samson Cherargei amewasuta gavana Dr. Mohammed Kuti wa Isiolo na waziri Ukur Yattani kwa kuchapa siasa badala ya kazi youtu.be/DDBh-NoNl0w Senator Kiprotich Arap Cherargei