Radio Citizen
@RadioCitizenFM
The Home of Kenya's most Popular Radio Personalities, Reliable News/Information and wholesome Entertainment. #RadioNumberOne #ChemChemiYaUkweli
ID:632859279
https://linktr.ee/radiocitizenfm 11-07-2012 10:24:46
619,0K Tweets
619,1K Followers
356 Following
Follow People
Karibu sana ndani ya #UsikuSacco kuanzia 1AM-5AM hapa tunacheza reggae nice and easy. Champe unanipata ukiwa wapi?
Pablo Mulunda
#UsikuSacco
#RadioNumberOne
Hewani ni #MsetoExtra ukiwa na Mzazi Willy M. Tuva, DJ Flash Kenya na Karima. Je unatupata ukiwa wapi ?
#MsetoExtra
#RadioNumberOne
Karibu ndani ya #RogaRoga Rhumba command center na leo hii tunakuporomoshea miziki kali ya kukuburudisha. Je, unatupata ukiwa wapi?
Fred Obachi Machoka OGW
#RogaRoga
#RadioNumberOne
Leo hii ndani ya #RahaKaraha tunajadili je, ni mambo gani ambayo katika mahusiano husisimua penzi kati ya mke na mume ?
Geoffrey Mwamburi (BEKI) Mwanahamisi Hamadi David Asimba Kadzo ndhundhi
#RahaKaraha
#RadioNumberOne
Karibu ndani ya awamu ya #Taratibu ukiwa na Tina Ogal. Pole zako za siku ni kwa nani?
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
#SwalaKuu : Mke wangu alikataa kuabiri gari nililonunua akidai tayari limepandwa na wenawake wengine. Je, nifanyeje?
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
Ringtone Alex Apoko : Maadui wangu wale ambao hawanitakii mema na wale wengine wenye walikua wanataka waninyang'anye vitu flani wakaona ili waweze kuninyang'anya vitu ambazo wanataka lazima wanifungie benki zangu.
#MamboMseto
#RadioNumberOne
Ringtone Alex Apoko: Kuongea naeza ongea Kiingereza shida napata katika spellings kizungu nakinusa kipo lakini sasa kukiandika tatizo sometimes
#MamboMseto
#RadioNumberOne