Radio Citizen
@RadioCitizenFM
The Home of Kenya's most Popular Radio Personalities, Reliable News/Information and wholesome Entertainment. #RadioNumberOne #ChemChemiYaUkweli
ID:632859279
https://linktr.ee/radiocitizenfm 11-07-2012 10:24:46
618,6K Tweets
618,3K Followers
355 Following
Follow People
Tushaanza #UsikuSacco na Pablo Mulunda anakuguzia Reggae, ragga, riddim zote genje. Uko locked ukiwa area code gani and how are you keeping safe hii time ya floods?
#UsikuSacco
#RadioNumberOne
Hewani ni #RogaRoga Rhumba command center. Hali ya anga vipi mahali uliko ?
Fred Obachi Machoka OGW
#RogaRoga
#RadioNumberOne
Karibu katika awamu ya mwisho ya #JamboKenyaChangamka ukiwa nami Tina Ogal. Je, unatupata ukiwa wapi?
#JamboKenyaChangamka
#RadioNumberOne
Karibu ndani ya awamu ya #Taratibu ukiwa nami Tina Ogal . Liwaza umpendaye na uliwazike pia.
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
Wakati huu ambao watoto wako nyumbani, ni juhudi gani ambazo umeweka ili kuhakikisha wako salama dhidi ya mafuriko?
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
#SwalaKuu : Wakati wowote mke wangu na mama yangu wanagombana, sijui nimuunge mkono nani na nani wa kusahihisha jambo hili linanitatiza sana Je, nifanyeje?
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
Unaposhabiki habari ambazo unapata kwenye mitandao ya kjamii, hakikisha ni habari za kweli kabla ya kusambaza.
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
Wakati huu wa mafuriko, ni muhimu sote tufate maagizo.
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
Ijumaa maridadi tunapatana tena ndani ya #DriveOnReloaded tuweze kusemezana na kuelimishana zaidi ukiwa nami Tina Ogal. Je, unatupata ukiwa wapi?
#DriveOnReloaded
#RadioNumberOne
Fire Music 254: Mziki ni kitu ambayo ilikua kwa damu na vile vile kuna watu ambao waliniinspire mpaka nikaingia kwa mziki.
#MamboMseto
#RadioNumberOne
#NP Ni Sawa Yao Vijana Barubaru ndani ya #MamboMseto ukiwa na Kadot na DJ Flash Kenya
#MamboMseto
#RadioNumberOne