Radio 47
@Radio47KE
Stesheni inayovuma kwa kasi zaidi.... Na Bado! ☎️ +254793047047 or WhatsApp 📱+254719739487
ID:1561617605626060802
https://radio47.fm 22-08-2022 07:34:02
62,2K Tweets
17,6K Followers
60 Following
Wambea wote unite ndani ya Maskani 47 mkiwa na Billy Miya na Mbaruk Mwalimu. Unategea uhondo ukiwa mtaa gani?
#BillyNaMbaruk #HapaNdipo
Safari yangu ya muziki ilianzia mtaani na hapo ndipo nilijifunza kuwa hakuna kitu unaeza kipata kirahisi.
#Baze47NaManucho
Ndo kudonjo ndo kudunda ndani ya #Baze47NaManucho 🔥🔥
Manucho the Young Baller SUPER DJ IMMO ™
#HapaNdipo
Nairobi Senator Edwin Sifuna weighs in on the current state of affairs due to heavy rains pounding the city.
#HapaNdipo
Ungana na hawa vijana wa nguvu Manucho the Young Baller na SUPER DJ IMMO ™ ndani ya #Baze47NaManucho kwa saa mbili za burudani la kishua.
#Baze47NaManucho #HapaNdipo
When you empower your wife, she becomes very resourceful around the home- Mkamburi.
#MkamburiNaJaphe #HapaNdipo
Fan- Mkamburi ukiwa na roho ya kutokwamua mpoa wako hautaolewa😂😂!!
#MkamburiNaJaphe #HapaNdipo
Mimi siwezi lipia mwanaume bill ata kama mpesa imekwama- Mkamburi, do you agree with Mkamburi?
#MkamburiNaJaphe #HapaNdipo