P'site Shio(@Psiteshio1) 's Twitter Profileg
P'site Shio

@Psiteshio1

Website designer, Founder at Kinange Company, Passionate graphics design educator, I help to grow your brands on X (Formely Twitter), crypto, Chelsea

ID:1220787700069998599

linkhttp://KinangeTech.com calendar_today24-01-2020 19:18:03

75,6K Tweets

35,1K Followers

1,2K Following

P'site Shio(@Psiteshio1) 's Twitter Profile Photo

Side hustles ni muhimu sana na Raha yake za online unaweza fanya popote
• Kwenye gari
• Kwenye sherehe
• Kwenye msiba nk

Watu wanamboleza, wewe na smartphone unapiga kazi.

Sasa tuone side Hussles 10

1. Kufanya Online Surveys
• Swagbucks
• Inbox Dollars
• Survey Junkie…

Side hustles ni muhimu sana na Raha yake za online unaweza fanya popote • Kwenye gari • Kwenye sherehe • Kwenye msiba nk Watu wanamboleza, wewe na smartphone unapiga kazi. Sasa tuone side Hussles 10 1. Kufanya Online Surveys • Swagbucks • Inbox Dollars • Survey Junkie…
account_circle
P'site Shio(@Psiteshio1) 's Twitter Profile Photo

Hii Nchi bila kuiba, aaah kutoboa itakuwa ngumu sana, utaishia pata pesa za kula tu

Tena na muda mwingine uzikose

Lakini waziri anasema mambo Kwa ground ni safi😂😂

account_circle
P'site Shio(@Psiteshio1) 's Twitter Profile Photo

Wiki 2 zilizopita nilipewa hii habari ya mzee wetu na mtu wa kijijini kabisaaaa, kwani watu wanatoa wapi taarifa nyeti kiasi hichi?

account_circle
Danford(@MaGoDanford) 's Twitter Profile Photo

P'site Shio hii ilikuwa siku bora sana kwangu.

tulijifunza mengi kuhusu kuangiza bidhaa china na kupeana connection za wauzaji na bidhaa ambazo wenzetu wanakuwa wameangiza.

thanks P'site Shio

🧢I'm🧢

account_circle