profile-img
Pori

@Philipo_Bethuel

Father | Respect is Priority.

calendar_today01-12-2018 12:36:00

20,0K Tweets

18,8K Followers

6,6K Following

Pori(@Philipo_Bethuel) 's Twitter Profile Photo

Wahudumu wa Hotelini na Migahawani wanashindwa kuelewa kuwa hawa wateja wanaweza kuwa wamiliki wa Hotels, Migawaha mikubwa zaidi au hata ofisi.

Wanajizibia Riziki wenyewe, ila wengine wamepata mafanikio makubwa kupitia wateja.

Customer Service ni ujuzi unaohitajika sana.

account_circle