Paul Kirobi
@paukirobi
|Journalist @Tv47ke| Member-KCA,Brand Ambassador- Brand Merchandize/Motivational speaker and Business Man.
ID: 991208761028169729
01-05-2018 06:52:39
2,2K Tweet
843 Followers
531 Following
HALI SI HALI KWA JIRANI Hali ya hofu Yazidi kutanda Tanzania UN yahimiza maafisa wa usalama Tanzania kukoma kutumia nguvu kupita kiasi Mwanahabari wa Kenya akamatwa na baadaye kuachiliwa Alikamatwa na maafisa wa Tanzania katika mpaka wa Lunga Lunga Paul Kirobi #TV47Wikendi
WANAHARAKATI WATISHIA KUANDAMANA Wanaharakati watishia kuandamana kupinga sheria kandamizi Rais Ruto ashtumiwa kusaini sheria wakati wa maombolezo Wakenya waliotekwa Uganda watakiwa kuachiliwa mara moja Wananchi wa Tanzania wapongezwa kwa kutetea haki zao Paul Kirobi
POLISI KIZIMBANI KWA MAUAJI Maafisa wa Mai Mahiu wakabiliwa na shtaka la mauaji Bastola ya afisa yatumika, ikadaiwa kuonesha alijipiga mwenyewe Wakili Omari asema washukiwa si tishio kwa mahakama Mahakama yaamuru kuzuiliwa kwa siku 10 kwa uchunguzi Paul Kirobi #TV47Wikendi
AHADI ZA RAIS RUTO MAGHARIBI Rais Ruto azuru Busia, aahidi mageuzi ya haraka Serikali yatenga KSh 1.8B kwa masoko ya kisasa Busia Vijana wahimizwa kuchangamkia mpango wa makazi nafuu Uwanja wa Busia kujengwa kwa KSh 900M kuimarisha michezo Paul Kirobi #TV47Wikendi
UPINZANI WAMSUTA RUTO Viongozi wa upinzani wapinga kauli ya rais Ruto Upinzani wajipanga kuonyesha makali Magharibi mwa Kenya Rais Ruto alidai hakuna mpinzani anayeweza kumuondoa mamlakani Upinzani wadai kauli hiyo ni dharau kwa viongozi wa sasa Paul Kirobi #TV47Wikendi
WAHADHIRI WAKAA NGUMU Wahadhiri wakataa ombi la serikali La kutaka kuwalipwa deni kwa awamu mbili Wasema serikali inafaa kuwalipa deni lote mara moja UASU yasema mgomo wa wahadhiri utaendelea Hadi pale matakwa yao yatakaposhughulikiwa Paul Kirobi #TV47Wikendi
UTAFITI: TAIFA LINAELEKEA PABAYA Wakenya wanaamini kuwa Kenya haipo kwenye njia bora Ushawishi wa serikali umeshuka kwa kiasi kikubwa Wakenya bado watajitokeza kwa wingi kupiga kura katika uchaguzi mkuu 2027 Paul Kirobi #TV47Wikendi
SUDI AMTETEA GAVANA WA UASIN GISHU Mbunge wa Kapsaret Oscar Sudi amtetea Gavana Bii waziwazi. Sudi ajitangaza kuwa mpangaji mkuu wa siasa za Ruto. Sudi aonya wapinzani kuhusu uchaguzi wa 2027. #TV47Matukio Paul Kirobi
KIRINYAGA YAWAKABILI WANYAKUZI Kaunti ya Kirinyaga yarejesha ardhi ya 800. Ardhi hiyo inasemekana kunyakuliwa na watu binafsi. Ardhi hiyo ilikuwa ya thamani sh Billioni moja. #TV47Matukio Paul Kirobi
WITO WA AMANI Wadau wa elimu watoa wito wa amani. Mtaalamu wa Elimu Hassan Kinyua awataka Wakenya kulinda mazingira. Kinyua amesisitiza umuhimu wa kukomesha ukatili wa kijinsia. Ametoa wito wa kulea vizazi vijavyo kupitia elimu. #TV47Matukio Paul Kirobi
WAKULIMA WATAKA UCHUNGUZI WA BIL.14 Wakulima wa chai wata uchunguzi wa bilioni 14. Waandikia DCI barua kufanya uchunguzi. #TV47Matukio Paul Kirobi
UFUGAJI WA KUKU WAPIGWA JEKI KITUI Vikundi vyapata vifaranga 6,400 kutoka idara ya mifugo. Mpango huu unatainua vikundi hivi kibiashara. Idara ya Mifugo imekuwa ikisambaza vifaranga. #TV47Matukio Paul Kirobi
MGOMO WA WAHADHIRI Wadau wa elimu wafanya kikao bungeni. Kikao kinajadili mgomo wa wahadhiri. Mgomo umedumu kwa takriban miezi miwili sasa. #TV47Matukio Paul Kirobi
MGOMO WA WAHADHIRI WATATIZA WANAFUNZI Wanafunzi wa chuo kikuu cha Kisii watishia kuwaunga wahadhiri. Wanafunzi wataka serikali suluhu ya kudumu kwa mgomo. #TV47Matukio Paul Kirobi
Dear Parent: Your Child's Mental Health Matters "Some mental health challenges in children include parents arguing in front of kids, drug abuse, and excessive crying or laughing."- Dr. Julius Kimani, Counselor #MorningCafeTV47 ANNE ODIDA🇰🇪