Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile
Peter Madeleka

@pmadeleka

Chief Legal Counsel at Stalwart Law Chambers

ID: 1387685001534316546

calendar_today29-04-2021 08:28:16

10,10K Tweet

121,121K Followers

5,5K Following

Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Sasa, Chama KINALINDWAJE kwa GHARAMA YA DAMU wakati mnasema “WAASISI” wamewaachia NCHI yenye “AMANI” na “USALAMA”?😂😂😂

Bado kuna mtu HAAMINI kuhusu zile FUSSO ZETU MBILI kama nilivyosema hapo 👇?😂😂😂 Au MANENO ya aliyekuwa MKUU WA WILAYA YA LONGIDO HAMKUYASIKIA JANA?

POLISI inapaswa KUIMARISHA USALAMA WA RAIA wakati huu wa UTEKAJI na siyo wakati wa UCHAGUZI wa 2024 na 2025, kwa sababu UCHAGUZI SIYO VITA wala TISHIO LA USALAMA WA RAIA. Ieleweke hivyo.

Hongereni sana VIONGOZI WAANDAMIZI wa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa SEMINA ELEKEZI yenye KAULI MBIU: “Maridhiano, Ustahimilivu, Mabadiliko, na Kujenga Upya, ni Msingi wa Kuimarisha Usalama wa Raia na Mali zao”. Labda akina DEUSDEDITH SOKA na wenzake, WATARUDI SASA.🙏🙏

BISWALO ana KIPAJI CHA WIZI. Aliwahi kuchukua FEDHA za mtu mmoja, kiasi cha TZS 1.62 BILIONI kwa kisingizio cha “PLEA BARGAIN” wakati mtu huyo HAKUWA na KESI yoyote MAHAKAMANI. Someni Ripoti ya CAG ya mwaka 2020/2021.

Huyo hapo 👇 ni Marehemu STELLA MOSES ambaye POLISI MBURAHATI walisema “AMAJINYONGA AKIWA MAHABUSU” tarehe 20 Disemba 2020 na WAKASIMAMIA MAZISHI YAKE HARAKA HARAKA. Nilipinga DRAMA hiyo ya POLISI, na MAHAKAMA (Corona) ikatoa AMRI, mwili wa STELLA UFUKULIWE na UCHUNGUZWE UPYA.

Kesi ya “AFANDE” imeitwa leo tarehe 5 Septemba 2024 kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, lakini NASIKITIKA NIMESHINDWA KWENDA kutokana na UKOSEFU WA FEDHA za KUENDESHA Kesi hiyo.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeahirisha Kesi ya “AFANDE” hadi tarehe 8 Oktoba 2024. Afande leo ALIKUWEPO MAHAKAMANI.😂😂

Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Chama cha Mapinduzi (CCM) kinayo “INTELIJENSIA” kubwa sana. Kimegundua kuwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Longido, alikuwa ni MPINZANI aliyejichomeka CCM, KIMAMLUKI. Hongereni sana CCM kwa “KUMKANA” yule MAMLUKI.💐🌷🌹

Mahakama ya Tanzania IMEMHAMISHA Kituo cha Kazi Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma Mheshimiwa FRANCIS KISHENYI ambaye alikuwa ANASIKILIZA KESI YA “AFANDE”.

Moja Kati ya MAFANIKIO yangu makubwa kwenye Kazi ya UWAKILI, ni kuweza KUTHIBITISHA, kupitia HUKUMU hiyo hapo 👇, kwamba Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), huwa ANABADILISHA SHERIA KIHUNI, nje ya UTARATIBU WA KIBUNGE. Tukatae UHUNI kwenye mambo yanayohusu HAKI za watu.

Kitendo cha “AFANDE” kufika MAHAKAMANI leo tarehe 5 Septemba 2024 ni USHINDI kwa wote WALIOCHANGA BUKU BUKU ili HAKI iweze KUTENDEKA. Serikali ilikuwa INAMKINGIA KIFUA “AFANDE”.😂😂

Ikiwa ndugu MBARALA MAHARAGANDE atashitakiwa MAHAKAMANI kwa MAELEKEZO ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, kwa madai kwamba “AMEZUA TAHARUKI”, nitakwenda KUMTETEA. Katika SHERIA, HAKUNA KOSA linaitwa “KUZUA TAHARUKI.

Ikiwa ndugu MBARALA MAHARAGANDE atashitakiwa MAHAKAMANI kwa MAELEKEZO ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, kwa madai kwamba “AMEZUA TAHARUKI”, nitakwenda KUMTETEA. Katika SHERIA, HAKUNA KOSA linaitwa “KUZUA TAHARUKI”.

Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Watu wote WALIOPANGA na KUTEKELEZA UTEKWAJI wa DEUSDEDITH SOKA na wenzake, kwa LUGHA RAHISI kabisa, HAWANA AKILI TIMAMU. Kwa mfano, UKIMTEKA, UKAMTESA na baadae UKAMUUA MTU, unapata FAIDA gani zaidi ya LAANA ya UWENDAWAZIMU TU?

Hongera sana DORA KITELEKI kwa kupandishwa CHEO na kuwa Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP). Kwa namna ninavyokufahamu, ninaamini HUWEZI kuwa kama “AFANDE”. Mungu akusaidie ufanye VEMA ZAIDI kwenye CHEO CHAKO KIPYA.

Nataka nimwambie Kigogo Media ajaribu kuficha UJINGA WAKE KIDOGO. Peter Madeleka anazo PESA za kuendesha Maisha yake ikiwemo KUNYWA POMBE. Kesi ya “AFANDE” kutuma watu WAMFIRE Binti wa YOMBO, ni ya JAMII NZIMA, kwa kuwa UFIRAJI ni KINYUME CHA SHERIA na MAADILI YA JAMII.

Nataka nimwambie <a href="/kigogo2014/">Kigogo Media</a> ajaribu kuficha UJINGA WAKE KIDOGO. Peter Madeleka anazo PESA za kuendesha Maisha yake ikiwemo KUNYWA POMBE. Kesi ya “AFANDE” kutuma watu WAMFIRE Binti wa YOMBO, ni ya JAMII NZIMA, kwa kuwa UFIRAJI ni KINYUME CHA SHERIA na MAADILI YA JAMII.
Peter Madeleka (@pmadeleka) 's Twitter Profile Photo

Watu wema wamaniambia; “Wakili Madeleka, kwa alichokiandika Kigogo Media hapo 👇, hana HADHI ya kujilinganisha na wewe”. Nimewajibu; “NAKUBALI 💯” 😂😂😂

Watu wema wamaniambia; “Wakili Madeleka, kwa alichokiandika <a href="/kigogo2014/">Kigogo Media</a> hapo 👇, hana HADHI ya  kujilinganisha na wewe”. Nimewajibu; “NAKUBALI 💯” 😂😂😂