Sabrina๐ŸŒท (@officielsajah) 's Twitter Profile
Sabrina๐ŸŒท

@officielsajah

No success without effort

ID: 1118907659720302593

calendar_today18-04-2019 16:02:29

20,20K Tweet

7,7K Takipรงi

1,1K Takip Edilen

E K O N I (@iamekoni) 's Twitter Profile Photo

Bwana wetu ni mkuu na mwingi wa nguvu, Akili zake hazina mpaka. Bwana huwategemeza wenye upole, Huwaangusha chini wenye jeuri. Zaburi 147:5-6

Maisha_Halisi (@hassanially1996) 's Twitter Profile Photo

โš ๏ธMaisha Hubadilika ghafla.Unaweza kuwa juu Leo, kesho Ukawa chiniโ€”kwa Hivyo Usijivune kupita kiasi.๐Ÿ“Œ

Son of God (@eliabudanford) 's Twitter Profile Photo

Roho Mtakatifu anapoweka kitabu cha Biblia/Maandiko ndani yako, usitoke hapo, soma na kusoma tafakari sana hicho kitabu/maandiko. Kadri unavyosoma ndivyo utagundua kuna vitu vinapenya ndani yako. Ndipo utajua maana ya kula mezani pa Bwana. Endelea kula Neno la uzima.

Roho Mtakatifu anapoweka kitabu cha Biblia/Maandiko ndani yako, usitoke hapo, soma na kusoma tafakari sana hicho kitabu/maandiko. Kadri unavyosoma ndivyo utagundua kuna vitu vinapenya ndani yako. Ndipo utajua maana ya kula mezani pa Bwana. Endelea kula Neno la uzima.
BROTHER (@0101dubu) 's Twitter Profile Photo

Wakati mwingine watu unaowaita wapenzi wa maisha au wenza wako wanaweza kuwa na wivu wa siri juu ya maendeleo yako. Mara nyingi hutumia visingizio vidhaifu kukuzuia usiendelee na mambo yanayokujenga, wakijificha nyuma ya maneno kama โ€˜tutafanya pamojaโ€™ au โ€˜sisi ni kitu kimojaโ€™.

BROTHER (@0101dubu) 's Twitter Profile Photo

Usiweke akilini kwamba furaha yako lazima itoke kwenye mahusiano ya kimapenzi. Wakati mwingine unachohitaji ni kazi ya uhakika, kipato kizuri, simu mpya, nguo safi za kuvutia na kujipenda mwenyewe โ€”hapo furaha inakutembelea bila hata kutegemea mtu.

SAMIA APP (@samia_app) 's Twitter Profile Photo

ILANI YA CCM 2025โ€“2030 Sura ya Pili โ€“ Ukurasa wa 30 Ndege Nane Mpya kwa ATCL Serikali ya CCM itaendelea kuimarisha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kuongeza idadi ya ndege za abiria na mizigo pamoja na kuboresha uendeshaji wake. Jumla ya ndege nane mpya zinatarajiwa

ILANI YA CCM 2025โ€“2030
Sura ya Pili โ€“ Ukurasa wa 30

Ndege Nane Mpya kwa ATCL
Serikali ya CCM itaendelea kuimarisha Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kuongeza idadi ya ndege za abiria na mizigo pamoja na kuboresha uendeshaji wake. Jumla ya ndege nane mpya zinatarajiwa
BROTHER (@0101dubu) 's Twitter Profile Photo

Nyakati nzuri hubaki kuwa kumbukumbu bora za maisha, na nyakati mbaya hubaki kuwa funzo kubwa la kutufundisha kuishi kwa hekima na nguvu zaidi.

Sabrina๐ŸŒท (@officielsajah) 's Twitter Profile Photo

๐—ž๐—œ๐—ž๐—”๐—ข ๐—–๐—›๐—” ๐—ž๐—”๐— ๐—”๐—ง๐—œ ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—”๐—Ÿ๐— ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐—–๐—–๐—  ๐—ง๐—”๐—œ๐—™๐—” Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawajulisha wanachama wake na umma kwa ujumla kuwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kitafanyika jijini Dodoma tarehe 21 Agosti 2025

๐—ž๐—œ๐—ž๐—”๐—ข ๐—–๐—›๐—” ๐—ž๐—”๐— ๐—”๐—ง๐—œ ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐—›๐—”๐—Ÿ๐— ๐—”๐—ฆ๐—›๐—”๐—จ๐—ฅ๐—œ ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—ฌ๐—” ๐—–๐—–๐—  ๐—ง๐—”๐—œ๐—™๐—”

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawajulisha wanachama wake na umma kwa ujumla kuwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kitafanyika jijini Dodoma tarehe 21 Agosti 2025