Shilole (@officialshilole) 's Twitter Profile
Shilole

@officialshilole

Musician From East Africa | Tanzania | Owner Shishi Food & Shishi Chill | Booking: [email protected]

ID: 749004678432694272

linkhttps://www.youtube.com/watch?v=JM14Ac-qBYI calendar_today01-07-2016 22:20:05

5,5K Tweet

23,23K Takipรงi

105 Takip Edilen

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Sikiliza sauti za furaha za wananchi. Zinaeleza namna Mama alivyobadili maisha yao. Oktoba wataweka #TikiKwaSamia kama shukrani yao kwake. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Maji kwa wananchi ni zaidi ya kumtua Mama ndoo kichwani. Ni usalama, maendeleo na ustawi wa taifa letu. #TikiKwaSamia #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi.

Magogoni Daily (@magogonidaily) 's Twitter Profile Photo

Ilituchukua miaka 59 (1961-2020) kujenga vituo 8,783 vya kutolea huduma za afya. Mama ametumia miaka minne (2021-Aprili 2025) kujenga vituo 4,063. Kwa miaka 10, atajenga vituo sawa na tulivyojenga tangu uhuru. #TikiKwaSamia

Ilituchukua miaka 59 (1961-2020) kujenga vituo 8,783 vya kutolea huduma za afya.

Mama ametumia miaka minne (2021-Aprili 2025) kujenga vituo 4,063.

Kwa miaka 10, atajenga vituo sawa na tulivyojenga tangu uhuru.

#TikiKwaSamia
Shilole (@officialshilole) 's Twitter Profile Photo

1 Timotheo 2:1-3 Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani. Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mwenyezi Mungu.

1 Timotheo 2:1-3

Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani. Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mwenyezi Mungu.
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ni faraja kubwa kuona Boti ya Utafutaji na Uokoaji imeshushwa kwenye maji ili kuanza kazi katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM (2020-2025) unaolenga kuimarisha usalama wa watumiaji wa ziwa hilo ambalo ni muhimu kwa uchumi na maisha ya wananchi.

Shilole (@officialshilole) 's Twitter Profile Photo

Aloooooo๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ vyakunona vimekolea ndimu..๐Ÿ‹โ€๐ŸŸฉpilipili๐ŸŒถ๏ธkwa mbaliii yaanii uwiii๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ ni mwendo wa kulakujigalagaza๐ŸŒฝ๐ŸŒพ

Aloooooo๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ vyakunona vimekolea ndimu..๐Ÿ‹โ€๐ŸŸฉpilipili๐ŸŒถ๏ธkwa mbaliii yaanii uwiii๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ ni mwendo wa kulakujigalagaza๐ŸŒฝ๐ŸŒพ
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

#MamaYukoKazini TBT ๐Œ๐€๐Œ๐€ ๐๐ˆ ๐Œ๐€๐๐€๐ƒ๐ˆ๐‹๐ˆ๐Š๐Ž Mazingira ya kazi yamekuwa bora. Ufanisi wa huduma kwa wananchi umeimarika. #TikiKwaSamia #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi

#MamaYukoKazini TBT

๐Œ๐€๐Œ๐€ ๐๐ˆ ๐Œ๐€๐๐€๐ƒ๐ˆ๐‹๐ˆ๐Š๐Ž

Mazingira ya kazi yamekuwa bora.

Ufanisi wa huduma kwa wananchi umeimarika.

#TikiKwaSamia
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi
Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Namba hazidanganyi. Mama kazi anaiweza. Uchumi wetu unakua. #TikiKwaSamia #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

#TikiKwaSamia Mama alisikia changamoto za wananchi, akachukua hatua. Sasa wananchi wanafurahia huduma za kibingwa kwa gharama nafuu. #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi

Mama yuko Kazini (@mamayukokazini) 's Twitter Profile Photo

Wavuvi wanasema ๐Œ๐ˆ๐“๐€๐๐Ž ๐“๐„๐๐€ ๐Š๐–๐€ ๐Œ๐€๐Œ๐€. #TikiKwaSamia #MamaYukoKazini #KaziNaUtuTunasongaMbele Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi

Wavuvi wanasema ๐Œ๐ˆ๐“๐€๐๐Ž ๐“๐„๐๐€ ๐Š๐–๐€ ๐Œ๐€๐Œ๐€.

#TikiKwaSamia
#MamaYukoKazini
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Taifa Moja. Maendeleo Zaidi. Kazi Zaidi