profile-img
جمعة يحيى محمد

@OfficialJouma

Mwalimu wa Lugha ya Kiarabu | Content Creator أستاذ اللغة العربية | صانع محتوى

calendar_today28-02-2015 13:06:05

15,6K Tweets

4,6K Followers

558 Following

جمعة يحيى محمد(@OfficialJouma) 's Twitter Profile Photo

{Mkifanya wema, basi mnajifanyia wema kwa ajili ya nafsi zenu wenyewe...}
Surah Al-Israa. Ayah: 7.
• Swadaka unayoitoa ni kwa ajili yako, hata kama yaonekana ni kwa ajili ya Fukara.
• Maneno mazuri unayotoa ni kwa ajili yako, hata kama yatawapa furaha na faraja wengine.
• Wewe…

{Mkifanya wema, basi mnajifanyia wema kwa ajili ya nafsi zenu wenyewe...} Surah Al-Israa. Ayah: 7. • Swadaka unayoitoa ni kwa ajili yako, hata kama yaonekana ni kwa ajili ya Fukara. • Maneno mazuri unayotoa ni kwa ajili yako, hata kama yatawapa furaha na faraja wengine. • Wewe…
account_circle