Ukurasa Rasmi wa OR-UTUMISHI-Tanzania (@or_utumishi) 's Twitter Profile
Ukurasa Rasmi wa OR-UTUMISHI-Tanzania

@or_utumishi

Jukumu kubwa la OR-MUUUB ni kuimaisha Utawala Bora katika uendeshaji wa shughuli za Serikali kwa kubuni Sera, Sheria na Kanuni na Taratibu

ID: 312611566

linkhttp://www.utumishi.go.tz calendar_today07-06-2011 11:53:25

1,1K Tweet

5,5K Followers

11 Following

Ukurasa Rasmi wa OR-UTUMISHI-Tanzania (@or_utumishi) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiwasilisha Hotuba kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Aprili 23, 2025 Bungeni jijini Dodoma.

Viongozi na Wakuu wa Taasisi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora wakifuatilia Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/26.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akizungumza jambo na Viongozi wa Ofisi yake baada ya kuwasili Bungeni kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi hiyo kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene (kulia) akitakiana heri na Naibu Waziri wa Ofisi yake Mhe. Deus Sangu wakati Waziri huyo akielekea kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi hiyo kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka 2025/26.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wakuu wa Taasisi wa Ofisi yake kabla ya kuwasilisha Hotuba kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/26 jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene akifurahia jambo na Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw. Mick Kiliba. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA), Mhandisi Benedict Ndomba.

Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Mahendeka (kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu-UTUMISHI Bw. Juma Mkomi (katikati) na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Xavier Daudi (kushoto)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiwasili Bungeni kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Ofisi yake kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Aprili 23, 2025 jijini Dodoma.

Ofisi ya Rais, UTUMISHI inaendesha mafunzo ya siku tatu kwa Watumishi 100 waliopo katika Taasisi Rekebu zinazohusika na uboreshaji wa mazingira ya biashara na Uwekezaji nchini, ili kuwaongezea ujuzi na kuwajengea uwezo katika utekelezaji wa majukumu yao.

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene kuendelea kusimamia Mabaraza ya Wafanyakazi ili yaendelee kutimiza majukumu yake mahali pa kazi.

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu ametangaza kuanza kutumika kwa Muundo mpya wa Utumishi wa Maendeleo ya kada za Uuguzi na Ukunga ifikapo mwezi Julai mwaka huu.