Manaoisis srπŸŽ™(@NyasajrM) 's Twitter Profileg
Manaoisis srπŸŽ™

@NyasajrM

automotive, simba,madrid&Chelsea fanc
Memes funy jokes
I want to be someone (πŸ’°)

ID:1518160146609885184

calendar_today24-04-2022 09:30:53

79,5K Tweets

1,4K Followers

1,1K Following

Mr HealthπŸ’ŠπŸ’‰(@Mkunga_Og) 's Twitter Profile Photo

Hata hivyo nashukuru sana, maana magumu niliyoyapitia yamenifunza mengi ambayo kamwe nisingeweza kuyafahamu.

Happy new month...πŸ™

account_circle
DOCHA (@ALugandu) 's Twitter Profile Photo

Umeomba Lift na Unataka Uwashiwe AC Hujui Kama Mafuta Yamepanda Bei au Tukushushe Ukagombanie Mwendokasi...!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Umeomba Lift na Unataka Uwashiwe AC Hujui Kama Mafuta Yamepanda Bei au Tukushushe Ukagombanie Mwendokasi...!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
account_circle
Fumbo Khan(@fumbokhanJr) 's Twitter Profile Photo

Watu wa Arusha acheni Ulaini Ulaini hawa wadudu ndio wana wasumbua Kweli, ukikapiga kofi moja si kanazimia hako.

Watu wa Arusha acheni Ulaini Ulaini hawa wadudu ndio wana wasumbua Kweli, ukikapiga kofi moja si kanazimia hako.
account_circle
Daktari Wa Maabara πŸ”¬(@DMaabara) 's Twitter Profile Photo

Uzima Ulionao Sasa Usikupe Kiburi Cha Kujiona Mkamirifu Kwa Kila Kitu , Na Ukajisahau Kuwa Huna Uwezo Wa Kuiona KeshoπŸ“Œ.

Kumekucha 😊🀲

account_circle