Nukta Habari (@nuktatanzania) 's Twitter Profile
Nukta Habari

@nuktatanzania

Tunaangazia habari zote zinazokuhusu katika teknolojia, elimu, biashara, uchumi, utalii, takwimu na maendeleo. Una habari? [email protected]
©@NuktaAfrica

ID: 947789863943856128

linkhttp://www.nukta.co.tz calendar_today01-01-2018 11:21:27

16,16K Tweet

3,3K Takipçi

405 Takip Edilen

NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA HII SI YA KWELI Chapisho hili halijachapishwa na MillardAyo na halipo kwenye kurasa rasmi za chombo hicho cha habari. Hivyo chapisho hili ni batili na linapaswa kupuuzwa. #ThibitishaKablaYaKusambaza #PingaUzushi #VumbuaUkweli Na Nukta Fakti

TAARIFA HII SI YA KWELI
Chapisho hili halijachapishwa na MillardAyo na halipo kwenye kurasa rasmi za chombo hicho cha habari. Hivyo chapisho hili ni batili na linapaswa kupuuzwa.

#ThibitishaKablaYaKusambaza
#PingaUzushi
#VumbuaUkweli
Na Nukta Fakti
Nukta Habari (@nuktatanzania) 's Twitter Profile Photo

Kupitia Nukta TV YouTube fuatilia uwasilishaji wa Hali ya Uchumi mwaka 2024 pamoja na Mpango wa Maendeleo wa Serikali kwa mwaka 2025/26 utakaowasilishwa na Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo. youtube.com/live/YXwrPYl0D…

Kupitia Nukta TV YouTube fuatilia uwasilishaji wa Hali ya Uchumi mwaka 2024 pamoja na Mpango wa Maendeleo wa Serikali kwa mwaka 2025/26 utakaowasilishwa na Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo. 
youtube.com/live/YXwrPYl0D…
Nukta Habari (@nuktatanzania) 's Twitter Profile Photo

Pato halisi la Taifa lafikia Sh156.6 trilioni kutoka Sh148.5 trilioni mwaka 2023. Endelea kufuatilia uwasilishaji wa Hali ya uchumi 2024 kupitia Nukta TV Youtube. youtube.com/live/YXwrPYl0D…

Pato halisi la Taifa lafikia Sh156.6 trilioni kutoka Sh148.5 trilioni mwaka 2023. 

Endelea kufuatilia uwasilishaji wa Hali ya uchumi 2024 kupitia Nukta TV Youtube. 

youtube.com/live/YXwrPYl0D…
Nukta Habari (@nuktatanzania) 's Twitter Profile Photo

Prof Mkumbo: Asilimia 70 ya Watanzania wanaridhishwa na utendaji wa Serikali. Endelea kufuatilia uwasilihaji wa Hali ya uchumi 2024 kupitia Nukta TV Youtube. youtube.com/live/YXwrPYl0D…

Prof Mkumbo: Asilimia 70 ya Watanzania wanaridhishwa na utendaji wa Serikali. Endelea kufuatilia uwasilihaji wa Hali ya uchumi 2024 kupitia Nukta TV Youtube. 

youtube.com/live/YXwrPYl0D…
Nukta Habari (@nuktatanzania) 's Twitter Profile Photo

Hizi hapa sekta tano zilizoongoza kwa ukuaji mwaka 2024. Endelea kufuatilia uwasilihaji wa Hali ya uchumi 2024 kupitia Nukta TV Youtube. youtube.com/live/YXwrPYl0D…

Hizi hapa sekta tano zilizoongoza kwa ukuaji mwaka 2024. Endelea kufuatilia uwasilihaji wa Hali ya uchumi 2024 kupitia Nukta TV Youtube. 

youtube.com/live/YXwrPYl0D…
Nukta Habari (@nuktatanzania) 's Twitter Profile Photo

BREAKING NEWS Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania. Masaju anachukua nafasi yaProf. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu. Uapisho wa Jaji Mkuu utafanyika tarehe 15 Juni, 2025

BREAKING NEWS

Rais  wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani  George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania.

Masaju anachukua nafasi yaProf. Ibrahim Hamis Juma ambaye amestaafu.

Uapisho wa Jaji Mkuu utafanyika tarehe 15 Juni, 2025
NuktaFakti (@nuktafakti) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA HII SI YA KWELI Chapisho hili halijachapishwa na JAMBO TV na halipo kwenye kurasa rasmi za chombo hicho cha habari. Pia aina ya mwandiko uliotumika (font) sio unaotumiwa na chombo hicho. #ThibitishaKablaYaKusambaza #PingaUzushi #VumbuaUkweli Na Nukta Fakti

TAARIFA HII SI YA KWELI

Chapisho hili halijachapishwa na JAMBO TV na halipo kwenye kurasa rasmi za chombo hicho cha habari. Pia aina ya mwandiko uliotumika (font) sio unaotumiwa na chombo hicho.

#ThibitishaKablaYaKusambaza
#PingaUzushi
#VumbuaUkweli
Na Nukta Fakti