Nishati (@nishati2017) 's Twitter Profile
Nishati

@nishati2017

Official Page-Ministry of Energy in Tanzania.This page will be useful in providing correct and latest information on Energy Sector.

ID: 1435388766

linkhttp://www.nishati.go.tz calendar_today17-05-2013 11:26:46

4,4K Tweet

55,55K Takipçi

1,1K Takip Edilen

Nishati (@nishati2017) 's Twitter Profile Photo

Matukio mbalimbali wakati Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Wizara ya Nishati, Ziana Mlawa alipotembelea Banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2025 yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma

Wizara ya Nishati na taasisi zilizo chini yake inashiriki Maadhimisho ya Kitaifa ya Wiki ya utumishi ambayo yameanza Juni 16, 2025 katika viwanja vya Chinangali, Jijini Dodoma.

Jumla ya vituo viwili vya kupunguza kasi ya mafuta ghafi yanayotoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani- Tanga vinatarajia kujengwa ili kusaidia upunguzaji wa kasi ya mafuta ghafi yanayosafirishwa sambamba na kulinda miundombinu ya bomba hilo la mafuta.

Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Sekta ya Mafuta na Gesi Wizara ya Nishati, Dkt James Mataragio, amesema utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) unazingatia maslahi mapana ya nchi ikiwemo upatikanaji wa ajira kwa wazawa.