TAKO TATU (@niffjuan) 's Twitter Profile
TAKO TATU

@niffjuan

KILA JAMBO LIPE MDA ๐ŸŽฏ

1 IS 1 EVEN IN HONG KONG๐ŸŒ

MKUBWA MUNGU TU ๐Ÿ’ฏ

ID: 996637649556426752

calendar_today16-05-2018 06:25:07

4,4K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

TAKO TATU (@niffjuan) 's Twitter Profile Photo

Africa chini ya miaka 30 kutoboa ni ngumu Sana we kama unabisha jiangalie wewe apo una miaka mingapi vipi umesha toboa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚??? WELCOME TO AFRICA

TAKO TATU (@niffjuan) 's Twitter Profile Photo

Imagine umepitia post ya mtu(mwanaume mwenzio) ikakuchekesha sana ukaamua kuweka emoji ila kwasababu ya haraka zako ukaandika kama hivi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜

TAKO TATU (@niffjuan) 's Twitter Profile Photo

Mzungu Akienda Kumuangalia Mgonjwa Hospital Utasikia GET WELL SOON Mbongo Sasa Akienda Utasikia HUU UGONJWA NDO ULIOMUUA JOJI ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

TAKO TATU (@niffjuan) 's Twitter Profile Photo

Wanangu Kuna sehem nipo afu Kuna pisi Kali kisenge na imesha elewa mazingira yangu sema kuna watu wengi tena watu wazima nifanyaje nichukue namba MSAADA WA HARAKA WAKUBWA ๐Ÿ™๐Ÿฟ

TAKO TATU (@niffjuan) 's Twitter Profile Photo

PESA , CHEO au MADARAKA hivi vitu vinawafanya watu wengi wamsahau MUNGU wasahau kwamba Kuna KIFO wengi wanahisigi wataishi adi uzeeni huko miaka 80 ndo wafe very sad ๐Ÿ˜ข

TAKO TATU (@niffjuan) 's Twitter Profile Photo

Mwanetu uwezo wa kumiliki hii kitu hauna ila basi usiwe mnyonge jifunze mkono tena uujue haswa ITAKUSAIDIA IPO SIKU โœŠ๐Ÿฟ

Mwanetu uwezo wa kumiliki hii kitu hauna ila basi usiwe mnyonge jifunze mkono tena uujue haswa ITAKUSAIDIA IPO SIKU โœŠ๐Ÿฟ