11:11 (@ngamiafifi) 's Twitter Profile
11:11

@ngamiafifi

ONE PRAYER CAN CHANGE EVERYTHING🙏
#WameporaTitleTumebakiNaRespect

ID: 789907851607171072

calendar_today22-10-2016 19:14:42

38,38K Tweet

1,1K Followers

5 Following

Sekenke One 🌻 (@alexsamoja) 's Twitter Profile Photo

Waliobaki gerezani wengi sio maarufu, hatujui majina yao, Please ukifanikiwa kuwatambua pale wanaposhuka kwenye Karandika la Polisi muwe mnatusaidia kuwa yule ni fulani details zake moja mbili, siku wakitoka wachangiwe wapate pakuanzia mtaani, Msaada ni sisi wenyewe na Mungu 🙏

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

TUPATE COMMENTS ZA #D9 CHAP CHAP ZA KUTOSHA WANANGU—HII NINISHARA YA KUWA TUPO PAMOJA NA TUTATOKA DISEMBA 9. Repost 500 #Disemba9Tunatoka #SiriNiNamba #D9 #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

TUPATE COMMENTS ZA #D9 CHAP CHAP ZA KUTOSHA WANANGU—HII NINISHARA YA KUWA TUPO PAMOJA NA TUTATOKA DISEMBA 9.

Repost 500

#Disemba9Tunatoka
#SiriNiNamba
#D9

#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
IbRaH (@ibrah_sheby) 's Twitter Profile Photo

Adventure-360 Vikram logistics davoo katokea Luilu huko Mpkani mwa Congo na Angola gari imekuja kufeli break 300KM kufika mwisho wa safari.. Pole yake jamaa.

John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

Genz wamekasirishwa sana na kitendo cha muuaji Samia kuandaa Hotuba kwa ajili kuwafokea, Samia na Kikwete wanadhani hii nchi ni mali ya Mama zao, Tukutane Disemba 9.

Gibson (@gibson44178359) 's Twitter Profile Photo

Mwamba aliisha sema nilimuunga mkono 100%na ntaendelea kumuunga mkono mpaka nakufa kwa unabii ama ukweli wake sasa Nchi hii kila kona ya dunia inazomewa

John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

“Tunatoa wito kwa mamlaka husika kukabidhi mili ya marehemu kwa familia zao haraka iwezekanavyo, kuwaachia huru wafungwa wote wa kisiasa na kuhakikisha waliokamatwa wanapata msaada wa kisheria na matibabu’’ - Balozi 16 za nchi za magharibi zimetoa wito kwa Serikali ya Tanzania