Eti huyu ni mwanamme. Anatumika kutangaza biashara akiwa amevaa mavazi ya kike.
Mbona tuna mabinti warembo kibao?
Huku ni kuvuka mipaka. Bila shaka kuna vyombo vinavyoweza kukemea. Hili Likiachwa vijana wengi wakaiga msilalamike watakapoolewa na wanaume wenzao.
Jamani, niiteni nifanye usafi, nifue, nideki, nipangepange ndani, ata kama chumba kimoja, na kupika pia twapika, nipeni kazi, maisha magumu mno mwenzenuπ